Nimetafakari sana juu ya uwezo wa Askari Polisi

Nadhani polic wa kwanza walifanyiwa ambush hawakuwa aware. Ndipo marehem alijichukulia advantage. ila wangejiandaa kama wanavyoenda kwenye matukio ya kijambaz sidhan kama angetoboa.
Kwa hiyo unataka kusema wahalifu wakitaka kuvamia,wawe wanawataarifu police dakika 20 kabla ili wajiandae?
 
Kwenye matukio ya ujambazi mara nyingi polisi ndio wanatega mtego, majambazi wanakuwa 'surprised'

Kwa Hamza polisi walivamiwa bila kutarajia wala kujiandaa. Kwenye mazingira hayo hata komando anaweza kuuawa.
Vipi ile kauli maarufu ya "intelijensia ya polisi"??
 
Hata miongozo ya kazi yao hawaifuati. Wabeba silaha wanakuwa in pairs, kila mmoja anamlinda mwenzake. Kitendo cha polisi wawili kuuawa na mtu mmoja kinaonesha uzembe na udhaifu wa hali ya juu wa polisi wa Tanzania.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna wakati polisi wamewahi kupendwa. Nyumbani kwako akatoka polisi hata kama alipita kukusalimia na hatambuliki kwa majirani, akiondoka tu simu au hodi zinaanza kuliizia kuna nini.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Wazuiwe simu, watumie radio calls. Wanachati bunduki ziko mgongoni au mezani.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hujui lolote kaa kimya, bastola utafanya majibizano na adui mwenye silaha kubwa?
 
 
Ile lugha ya polisi wameua majambazi yaliyokuwa yanarushiana risasi na polisi unaiamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…