Mahari nayo ni mtaji??Ni mwanaume naoa siolewi.
Ukitaka faida anazopta mwanamke kwenye ndoa naweza kukujazia lundo la faida kabla wakati wa ndoa na baada ya ndoa.
Kabla ya ndoa(wakati wa kuanza biashara)mwanaume anampa mwanamke mahari(mtaji) wa kufanyia biashara hiyo ni faida ya kwanza kwa mwanamke.
Je unataka niendelee au niache?
Jifunze kwanza kuuliza swali sahihi kwa mtu sahihi.Kimsingi hujajibu swali
Kwa hiyo kama huna majibu ya moja kwa moja unaweza kuacha
Umebandika wapi utambulisho wako kama we ni mwanaume??Jifunze kwanza kuuliza swali sahihi kwa mtu sahihi.
Huwezi kumuuliza swali mwanaume faida za kuolewa wakati mwanaume haolewi bali anaoa.
Unatarajia upewe jibu la namna gani?
Yeah.Mahari nayo ni mtaji??
Jifunze kwanza kuuliza swali sahihi kwa mtu sahihi.
Huwezi kumuuliza swali mwanaume faida za kuolewa wakati mwanaume haolewi bali anaoa.
Unatarajia upewe jibu la namna gani?
Ni biashara.
Tena yenye faida mno kwa wanawake.
Kama ulikuwa hujui anza kutambua ilo sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23],hiyo mahari mnayotoa kwa manung'uniko na tena mnatoa nusu,Yeah.
Ni mtaji tena mtaji mkubwa sana.
Kama huyo dada anataka kuanza biashara kwa mtaji wa laki 3 vipi mimi nkitaka kunuoa na kumpa mahari milioni tano ambazo kisheria ni pesa zake uoni kwamba huo ni mtaji?
Anaweza kuanzishia biashara yoyote na kisheria ikawa ni yake na hata mkiachana bado hiyo biashara itabaki kuwa yake.
Una skills gani nje na taaluma yako ?Habari Za sahivi wanajamii wenzangu. Mimi ni msichana nina miaka 29. Natamni Sana kujiajiri Kwa sababu kazi zimekuwa ngumu Sana, nimetafuta mpaka nimechoka sasa nimeuza simu yangu Na radio yangu nimejikuta mkononi nina laki 3 Tu...
Kuolewa unataka au utaki?
Excellent wewe kweli upo determined. Njoo nikuoe na mtaji wa laki tano uanzishe biashara ya kuuza vifuniko vya asali vya warembo
Mshaurini mwenzenu acheni mambo ya kiwaki kudadeki zenu.Tupe faida ulivyoolewa umepata nini na nini?
Ndio, atuambie anapenda kufanya Nini kwenye biashara...Dah watu wanamajibu ya hovyo ila kwanza tambua interest yako..ndo biashara ya kwa kwanza
Mshaurini mwenzenu acheni mambo ya kiwaki kudadeki zenu.
Anafungua anakuta comment kibao zote ni upuuzi tu.
Kuolewa unataka au utaki?
Achukue huu ushauri nadhani utamfaaKwa dsm kwa mtaji wako huo wa laki 3 anza na biashara ya kuuza matunda sio ule wa kutembeza kwenye beseni ule una una vishawishi vingi toka kwa sisi wanaume unaweza kukutoa kwenye mstari
1)Tafuta location ya barabarani ambayo utaweza kufanya biashara yako.....