Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Mimi ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni
Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa, weakness kubwa niliyokuwa nayo mim sio muongo na niko straight may be ndo kitu kinachonifelisha ila kamwe kujibadilisha nimeshindwa
Kuna mda najiulizaga watu wanavyosemaga wanawake wa ki-leo wanalilia ndoa sidhan kama hii kauli ina ukweli, ni uongo sina tatizo na wanawake walionikataa sababu ni haki yao na sina chuki nao.
Na kamwe sitakaa niipinge ndoa yes nimeshindwa kupata mwanamke wa ndoa, lakin wengine wamefanikiwa kupata wenza na wanaishi vizuri kwa hiyo sipo kwenye ile kampen ya kataaa ndoa
Wanawake niliowaaproach ni wakawaida sio wa hadhi ya juu
Baada ya kukataliwa na kila mwanamke ambaye niliyetaka kumuoa na kuanzisha familia imeshindikana imebid nitulie kwanza nijipange kiakili kuishi bila mke ni ngumu ila inawezekana.
Let us be realistic ndoa is not for everyone wengine tumepigania ila imeshindikana kinachonipa aman at least nimejaribu sababu the only fear is not trying
Chamgamoto ninayokumbana nayo na nitakayokumbana nayo for the rest of my life ni upweke na ndo kitu ambacgo natakiwa kupambana nacho for the rest of my life