Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
- Thread starter
- #281
Kwenye maisha lazima ukubali hayako fairMkuu kuna watu tunagundu kwenye suala zima la mapenzi aseee
Maana unaweza kuta mwanaume wa kawaida, dereva tax, lakini anagombaniwa na wanawake wa aina zote kimatabaka ya kiuchumi
Na pia unaweza kuta mwanaume mwingine hana mvuto au ana look average lakini kila mwanamke anamkimbia tu
We utasemaje sasa hapo
Hivi vitu ni changamoto kwa kweli kuna mwanangu kamuoa muhindi lakini alikuwa muuza flash buguruni saivi anasomeshwa UK na muhindi kamjaza mimba na alikuwa mtu wa kawaida kabisa
So sad 😔