Nimetafuta Wimbo Wa Eid El fitri Wa kisukuma nimeukosa

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Kwa kuwa wasukuma ni miongoni mwa makabila makubwa nchini, bila ya shaka wasukuma kadhaa ni Waislam.

Kwa mintarafu hiyo nikapata shauku ya kusikiliza Wimbo angalau mmoja ulioimbwa Kwa kisukuma kusherehesha siku kuu hii nimeukosa kabisa.

Kama Kuna mtu ana wimbo ulioimbwa kwa Kisukuma maalum Kwa ajili ya Eid El Fitri atuwekee tusikilize wasukuma nao wanavyomtukuza ALLAH.
 
Kwani wachaga wanazo nyimbo za eid? Ukipata kwa kichaga na kwa kisukuma utapata πŸ˜‚
 
Upunguze bhangi za kusokotewa raha ya bhangi usomote mwenyewe.
 
Uzi huu lengo lake linajulikana, sijui huwa mnajisikiaje mkianza kutupiana na kudhihakiana kisa dini.

Ipo siku hali hii itatoka mitandaoni, na kuhamia mtaani. Mnatengeneza sumu mbaya saana bila kujua.
Usinivishe tabia ambayo Sina....

Ishu ni ya tamaduni kama wewe ukileta mambo mengine hiyo itakuwa ni haja ya Moyo wako na jinsi akili yako ilivyokutuma.
 
Kwa nini usitafute wa kihaya, kwa mfano? Hao wote wanatoka ile kanda ya ziwaπŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…