Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa kuwa wasukuma ni miongoni mwa makabila makubwa nchini, bila ya shaka wasukuma kadhaa ni Waislam.
Kwa mintarafu hiyo nikapata shauku ya kusikiliza Wimbo angalau mmoja ulioimbwa Kwa kisukuma kusherehesha siku kuu hii nimeukosa kabisa.
Kama Kuna mtu ana wimbo ulioimbwa kwa Kisukuma maalum Kwa ajili ya Eid El Fitri atuwekee tusikilize wasukuma nao wanavyomtukuza ALLAH.