Ahahahahaaa JD aliimbaZamani hizo muda kama huu babu ameshaninunulia nguo za sikukuu kuanzia za kuendea kanisani Alhamis kuu mpaka za Easter Monday.
Sasa hivi naishia kutamani tu. Siwezi hata kuvaa nguo mpya kwenye sikukuu zaidi ya kumvalisha dogo.
Nimetamani kweli kweli ningekua mtoto ninunuliwe nguo mpya kwenye Pasaka [emoji26][emoji26] maana hata nikijinunulia hainogi kama kununuliwa na kale ka kafeeling ka kujua utavaa nguo mpya uslay kwenye sikukuu kalikua burudani sana.
Unatamani kuwa mtoto wa NaniZamani hizo muda kama huu babu ameshaninunulia nguo za sikukuu kuanzia za kuendea kanisani Alhamis kuu mpaka za Easter Monday.
Sasa hivi naishia kutamani tu. Siwezi hata kuvaa nguo mpya kwenye sikukuu zaidi ya kumvalisha dogo.
Nimetamani kweli kweli ningekua mtoto ninunuliwe nguo mpya kwenye Pasaka [emoji26][emoji26] maana hata nikijinunulia hainogi kama kununuliwa na kale ka kafeeling ka kujua utavaa nguo mpya uslay kwenye sikukuu kalikua burudani sana.
Zamani hizo muda kama huu babu ameshaninunulia nguo za sikukuu kuanzia za kuendea kanisani Alhamis kuu mpaka za Easter Monday.
Sasa hivi naishia kutamani tu. Siwezi hata kuvaa nguo mpya kwenye sikukuu zaidi ya kumvalisha dogo.
Nimetamani kweli kweli ningekua mtoto ninunuliwe nguo mpya kwenye Pasaka [emoji26][emoji26] maana hata nikijinunulia hainogi kama kununuliwa na kale ka kafeeling ka kujua utavaa nguo mpya uslay kwenye sikukuu kalikua burudani sana.
Sawa mtoto wa kylineMengi itapendeza zaidi
Jack ana bunduki.. shauri yako..!!Mengi itapendeza zaidi
Tamaa mbaya sana, sasa hivi utaanza kutamani kujisaidia kwenye nguoZamani hizo muda kama huu babu ameshaninunulia nguo za sikukuu kuanzia za kuendea kanisani Alhamis kuu mpaka za Easter Monday.
Sasa hivi naishia kutamani tu. Siwezi hata kuvaa nguo mpya kwenye sikukuu zaidi ya kumvalisha dogo.
Nimetamani kweli kweli ningekua mtoto ninunuliwe nguo mpya kwenye Pasaka [emoji26][emoji26] maana hata nikijinunulia hainogi kama kununuliwa na kale ka kafeeling ka kujua utavaa nguo mpya uslay kwenye sikukuu kalikua burudani sana.
Huyo dogo ulosema hapo umempataje au niwa naniSina mwaya.
Humu Jf kuna wanaume "MAFUKARA" namaanisha kuna wanaume "MASKINI" haswa.. Wengi wao watapita hii thread kama vile hawajaielewa..
Mwanaume kweli unashindwa vipi kumtoa huyu dada out ya kumpeleka kumnunulia nguo za Milion 2 super market? shubamit
Tafuta kidumu sistaa usielemee upande mmoja utaumiaNi wa kwangu sema babake yuko duniani huko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Humu Jf kuna wanaume "MAFUKARA" namaanisha kuna wanaume "MASKINI" haswa.. Wengi wao watapita hii thread kama vile hawajaielewa..
Mwanaume kweli unashindwa vipi kumtoa huyu dada out ya kumpeleka kumnunulia nguo za Milion 2 super market? shubamit
Hivi wewe ni wa kike?Humu Jf kuna wanaume "MAFUKARA" namaanisha kuna wanaume "MASKINI" haswa.. Wengi wao watapita hii thread kama vile hawajaielewa..