Nimetamani kuwa mtoto

Nimetamani kuwa mtoto

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Zamani hizo muda kama huu babu ameshaninunulia nguo za sikukuu kuanzia za kuendea kanisani Alhamis kuu mpaka za Easter Monday.

Sasa hivi naishia kutamani tu. Siwezi hata kuvaa nguo mpya kwenye sikukuu zaidi ya kumvalisha dogo.

Nimetamani kweli kweli ningekua mtoto ninunuliwe nguo mpya kwenye Pasaka [emoji26][emoji26] maana hata nikijinunulia hainogi kama kununuliwa na kale ka kafeeling ka kujua utavaa nguo mpya uslay kwenye sikukuu kalikua burudani sana.
 
Ahahahahaaa JD aliimba
 
Unatamani kuwa mtoto wa Nani
MENGI au MAKONDA?
 
Kwani hauna dear akununulie?

Tamaa mbaya sana, sasa hivi utaanza kutamani kujisaidia kwenye nguo
 
Humu Jf kuna wanaume "MAFUKARA" namaanisha kuna wanaume "MASKINI" haswa.. Wengi wao watapita hii thread kama vile hawajaielewa..

Mwanaume kweli unashindwa vipi kumtoa huyu dada out ya kumpeleka kumnunulia nguo za Milion 2 super market? shubamit
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Million mbili usawa huu mkuu? Mimi gauni tu la sikukuu lanitosha
 
Back
Top Bottom