Nimetamani kuwa mtoto

Haitowezekana
We endelea kutamani tu[emoji23][emoji23]
Alafu kutamani ni dhambi kwa mujibu wa maandiko
 
Ukweli mchungu [emoji852]
Ukirudi utotoni maana yake utabana fursa za watoto kufaidi utoto wao.
Wewe pambana na hali yako tu
Utu uzima noma kweli kweli watoto wanataka kula na kufurahi we kama huna hela wao hawajui na hata wakijua is none of their business[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli mimi kuwa au kutokua na hela haiwahusu kabisa.
Wakati Niko mtoto nikiomba hela nikiambiwa nisubiri nilikua nanuna najua wananinyima.
Kumbe watu wanakosaga hela kweli bwana
 
Acha kabisaa nilikua nafikiri wanafanya kusudiii!!!magorofa nimeyaona tena zaidi ya Yale niliyoambiwa!!
Kweli mimi kuwa au kutokua na hela haiwahusu kabisa.
Wakati Niko mtoto nikiomba hela nikiambiwa nisubiri nilikua nanuna najua wananinyima.
Kumbe watu wanakosaga hela kweli bwana
 
Na ni lazima hizo nguo za Pasaka zinunuliwe na Babu au yeyote yule? Nauliza tu Best 😜

 
Write your reply...pole Sana ungekuwa mkoani ungepata shopping ya maana naona wenzangu wa dar niwachoyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…