Gauni aina gani sasa babie..Nataka yaani..
Gauni size 14 ama XL
Suruali kiuno 34
Si kama hii babieLol.. hizo aina ndo nimetoka kapa.
Yoyote nzuri inayoficha kitambi Sina shida nayo.
Yes... hiyo nzuri kwendea kwa wakweSi kama hii babieView attachment 1108948
Okay liletwe wapi, time and place of deliveryYes... hiyo nzuri kwendea kwa wakwe