Busybee Chimata
Member
- Apr 7, 2016
- 9
- 22
Nimetapeliwa na mtu aliyedai ni afisa mikopo wa Mo Dewji Foundation kwa kunilaghai nikope mikopo nafuu Kwa riba ndogo, ila nitoke dhamana ya asilimia 10. Nilitoa shs 35,000 na kulipa katika namba 0789 223 590 (Khatibu Khamis) na kuahidiwa kupewa mkopo wa shs laki 3, ndani ya muda mfupi.
Baada ya muda mfupi nililetewa meaeji ikinitaka niongeze Tshs 47,000 Ili itumike kufungua account ya mkopo na itareshwa pamoja na mkopo.
Mimi nimkopaji wa mitandaoni hivyo nilijiridhisha. Namba ya afisa imesajiliwa na Nida na ana kitambulisho cha hiyo taassisi daiwa.
Baada ya kujiridhisha kuwa nimeibiwa nilipiga simu kwa mtandao wangu (halotel) na wakaniambia hela imeshatolewa na kukata simu.
Maswali yangu
1) Jina la taassisi ni kubwa , je muhusika hana habari ya jina lake kutumika vibaya?
2) Kama kujiaminisha muhusika alinitumia video ya Mo akiinadi taasisi yake.
3). Hawa watu naweza kusaidiwaje na vyombo vya usalama kurudishiwa hela yangu?
Soma Pia:

- Warning: Utapeli wa kikundi wanajiita Mo Dewji Foundation
- Mbeya: Wanaofanya utapeli kwa kutumia jina la Mo Dewji wakamatwa, wakutwa na Line za Vodacom (10), Tigo (2) na Airtel (3)