Nimetapeliwa zaidi ya Tsh. 45,000,000 kwa kuuziwa kiwanja feki

Kwani mkuu , mbona watu wamelizwa sana!!mtu una hati original, anazunguka mtu mwenye pesa yake anaenda anatoa rushwa inatolewa hati nyingine, tena inarudishwa nyuma kuliko hata hiyo yako!!ila kwa sasa imepungua sana kama sio kuisha.

  • Hilo sio rahisi Kama unavyodhani.
  • kwa sababu unapotaka kufanya maombi ya 'first registration' sheria Cap 334 inatakiwa itangazwe kwenye gazzette,au newspaper moja au zaidi, Sasa hapo itabidi aonyeshe ni Kwenye Gazzette lipi na Newspapers zipi zilichapisha hiyo application yake ya first registration and he must fail to prove kwa sababu sheria Cap 334 inamtaka atangaze kwenye gazzett na newspapers, itabidi ataje GN ya Gazzette iliyotangaza na Ataje Ni toleo gani vitu ambavyo sio rahisi.
 
Hati original huwa ipo moja tu. Mnachofanya ni transfer ya ownership huku hard copy ya hati ikigongwa na kuonyesha jina la mmiliki wa wakati huo. Itoshe tu kusema ni ngumu kumtapeli mwenye hati labda muiibe hiyo hati. Hata mkiiba hamtafika mbali (rejea GSM & Makonda)

Ambacho kinaweza kufanyika ili upigwe ni ofisi ya ardhi kumpa mtu mwingine “offer letter”. Hii ni rahisi kucheza nayo na unaweza kupewa sound tu kuwa ulichelewa kufanya mchakato wa kuendeleza kiwanja chako
 
Dawa ni kutoa pesa nusu unajenga ukuta kisha unasikilizia.Pia muuzaji ni lzm awe na dhahama ya nyumba Ili ikitokea tofauti tu unakamata Dhamana
Ujenge ukuta then uskilizie? Bado sio sawa hii. Kama kiwanja kimepimwa ni rahisi zaidi kwenda kujiridhisha kwenye ofisi za ardhi za mji/halmashauri husika kabla hujafanya chochote. Hii action ni effective

Hata kama kiwanja/eneo halijapimwa, ni busara zaidi kuengage competent lawyer akupe mwongozo stahiki. Shortcuts huwa zina matokeo hasi mbele ya safari
 
Pia majirani wa pande zote nne awawezi kukuangusha ukiwatumia kupata uhalali
 
Mkuu matapeli ni noma mimi mwaka jana nimetapeliwa katika ishu moja hivi yan mpka nakuja kujua kua nimetapiliwa aisee nilteseka sana na ile hali ubaya wa matapeli wanakwalua kiasi chote hadi akiba yako wanachukua na hawana huruma mi nasema tapeli ni mmbaya kuliko mwizi
Mkuu ilikuwaje wakakutenda?

Mi napenda sana simulizi za waathiriwa, naomba nipe hata kwa kifupi.
 
Mleta mada hii hela alipiga deal mahali, so ni sawa kabisa, alipoipiga tu huko na yeye huku kwenye manunuzi karma ikamrudia!

Binafsi, ningekuwa nasaka wauzaji kwanza sangoma awashushie mishipa na mabusha na matende kisha niwanyonge kwa mikono yangu nisingekuwa huku jf, labda Milembe, natulizwa akili!

45M una I recover vipi na uchumi wa Vita vya Ukraine!?
 
Hati original huwa ipo moja tu. Mnachofanya ni transfer ya ownership huku hard copy ya hati ikigongwa na kuonyesha jina la mmiliki wa wakati huo. Itoshe tu kusema ni ngumu kumtapeli mwenye hati labda muiibe hiyo hati. Hata mkiiba hamtafika mbali (rejea GSM & Makonda)

Ambacho kinaweza kufanyika ili upigwe ni ofisi ya ardhi kumpa mtu mwingine “offer letter”. Hii ni rahisi kucheza nayo na unaweza kupewa sound tu kuwa ulichelewa kufanya mchakato wa kuendeleza kiwanja chako
Hahaaaa!!ni migogoro mingapi inayohusu hati rais magufuri ilibidi aingilie, na kutoa amri kuwa yule mwenye hati ya kwanza ndio mmiriki halali wa kiwanja, baada ya kuona kero ya hati mbili mbili kuzidi?
 
  • Hilo sio rahisi Kama unavyodhani.
  • kwa sababu unapotaka kufanya maombi ya 'first registration' sheria Cap 334 inatakiwa itangazwe kwenye gazzette,au newspaper moja au zaidi, Sasa hapo itabidi aonyeshe ni Kwenye Gazzette lipi na Newspapers zipi zilichapisha hiyo application yake ya first registration and he must fail to prove kwa sababu sheria Cap 334 inamtaka atangaze kwenye gazzett na newspapers, itabidi ataje GN ya Gazzette iliyotangaza na Ataje Ni toleo gani vitu ambavyo sio rahisi.
Ni kesi ngapi ambazo ziliibuka awamu ya tano, hadi rais magufuri kutoa amri kwa lukuvi kuwa kuanzia sasa , hati original ni ile iliyotolewa mapema(nyuma)kuliko nyingine kwani kesi za hati mbili mbili zilikuwa nyingi mno!!hiyo unayosema ni kwenye sheria tu nenda ki uhalisia, hakuna wizara iliyokuwa imeoza kama wizara ya ardhi.
 
Issue Ni kwamba anaweza kufoji GN Ya Gazzette? Na Newspaper?
 
Hilo jiulize wewe, ilikuwaje watu wengi wakajikuta, kwenye kiwanja kimoja kina hati mbili, tena zote zimetolewa na wizara ya ardhi?hadi rais kuamua kuingilia kati kuwa yule aliyepata hati kwanza ndio mwenye kiwanja?na ndio hilo tatizo lilikuwa solved kwa style hiyo.
 
Mkuu matapeli ni noma mimi mwaka jana nimetapeliwa katika ishu moja hivi yan mpka nakuja kujua kua nimetapiliwa aisee nilteseka sana na ile hali ubaya wa matapeli wanakwalua kiasi chote hadi akiba yako wanachukua na hawana huruma mi nasema tapeli ni mmbaya kuliko mwizi
Matapeli ni noma, hao wanakwangua kuna muda wanahakikisha mpka unabakiwa na madeni, unavyowatafuta na ww wanaokudai wanakuwinda unajikuta unakimbia mji 😄
 
Hahaaaa!!ni migogoro mingapi inayohusu hati rais magufuri ilibidi aingilie, na kutoa amri kuwa yule mwenye hati ya kwanza ndio mmiriki halali wa kiwanja, baada ya kuona kero ya hati mbili mbili kuzidi?
Unachanganya kati ya title deed na offer letter. Offer letters ndio zinaweza kutoka zaidi ya mbili. Wanaoelewa haya mambo wanalifahamu hili
 
Unachanganya kati ya title deed na offer letter. Offer letters ndio zinaweza kutoka zaidi ya mbili. Wanaolewa haya mambo wanalifahamu hili
Mkuu mimi ninajua nini maana ya title deed, na mwaka 2015, mdogo wangu ilimkuta, hiyo alikuwa na hati og, ya kiwanja chake, bunju, kumbe kuna hati nyingine, mgogoro kufika wizarani, wakasimamishwa watu pale,
Mgogoro ulikuja malizwa na waziri, tena kwa kuangalia hati iliyotolewa mwanzo, bahati mbaya yule wa pili alishaanza kufanya maendelezo , ilibidi akinunue tena, kwa pesa ndefu tu.Ndugu yangu kwa sasa yupo zake kigamboni huko.
 
Back
Top Bottom