Dawa ni kutoa pesa nusu unajenga ukuta kisha unasikilizia.Pia muuzaji ni lzm awe na dhahama ya nyumba Ili ikitokea tofauti tu unakamata DhamanaUTAPELI wa ardhi Mara nyingi huwa una mkono mrefu mpaka ardhi.
Unaweza kumtumia wakili ukapewa mpaka hati kutoka Ardhi lakini ukapige.
Kwani mkuu , mbona watu wamelizwa sana!!mtu una hati original, anazunguka mtu mwenye pesa yake anaenda anatoa rushwa inatolewa hati nyingine, tena inarudishwa nyuma kuliko hata hiyo yako!!ila kwa sasa imepungua sana kama sio kuisha.
Kwani mkuu , mbona watu wamelizwa sana!!mtu una hati original, anazunguka mtu mwenye pesa yake anaenda anatoa rushwa inatolewa hati nyingine, tena inarudishwa nyuma kuliko hata hiyo yako!!ila kwa sasa imepungua sana kama sio kuisha.
Hati original huwa ipo moja tu. Mnachofanya ni transfer ya ownership huku hard copy ya hati ikigongwa na kuonyesha jina la mmiliki wa wakati huo. Itoshe tu kusema ni ngumu kumtapeli mwenye hati labda muiibe hiyo hati. Hata mkiiba hamtafika mbali (rejea GSM & Makonda)Kwani mkuu , mbona watu wamelizwa sana!!mtu una hati original, anazunguka mtu mwenye pesa yake anaenda anatoa rushwa inatolewa hati nyingine, tena inarudishwa nyuma kuliko hata hiyo yako!!ila kwa sasa imepungua sana kama sio kuisha.
Ujenge ukuta then uskilizie? Bado sio sawa hii. Kama kiwanja kimepimwa ni rahisi zaidi kwenda kujiridhisha kwenye ofisi za ardhi za mji/halmashauri husika kabla hujafanya chochote. Hii action ni effectiveDawa ni kutoa pesa nusu unajenga ukuta kisha unasikilizia.Pia muuzaji ni lzm awe na dhahama ya nyumba Ili ikitokea tofauti tu unakamata Dhamana
Pia majirani wa pande zote nne awawezi kukuangusha ukiwatumia kupata uhalaliUjenge ukuta then uskilizie? Bado sio sawa hii. Kama kiwanja kimepimwa ni rahisi zaidi kwenda kujiridhisha kwenye ofisi za ardhi za mji/halmashauri husika kabla hujafanya chochote. Hii action ni effective
Hata kama kiwanja/eneo halijapimwa, ni busara zaidi kuengage competent lawyer akupe mwongozo stahiki. Shortcuts huwa zina matokeo hasi mbele ya safari
Mkuu, unadhani wakili ni MALAIKA?
Ni mwanasheria wangu
Mkuu ilikuwaje wakakutenda?Mkuu matapeli ni noma mimi mwaka jana nimetapeliwa katika ishu moja hivi yan mpka nakuja kujua kua nimetapiliwa aisee nilteseka sana na ile hali ubaya wa matapeli wanakwalua kiasi chote hadi akiba yako wanachukua na hawana huruma mi nasema tapeli ni mmbaya kuliko mwizi
Ndio bosslakini si anakusaidia kwa Sasa?
Itakuwa ufukweni MWA bahari, maji hayakuwepo!walikuta michanga!Kiwanja feki kinakuwaje? Ardhi hupajui?
Hahaaaa!!ni migogoro mingapi inayohusu hati rais magufuri ilibidi aingilie, na kutoa amri kuwa yule mwenye hati ya kwanza ndio mmiriki halali wa kiwanja, baada ya kuona kero ya hati mbili mbili kuzidi?Hati original huwa ipo moja tu. Mnachofanya ni transfer ya ownership huku hard copy ya hati ikigongwa na kuonyesha jina la mmiliki wa wakati huo. Itoshe tu kusema ni ngumu kumtapeli mwenye hati labda muiibe hiyo hati. Hata mkiiba hamtafika mbali (rejea GSM & Makonda)
Ambacho kinaweza kufanyika ili upigwe ni ofisi ya ardhi kumpa mtu mwingine “offer letter”. Hii ni rahisi kucheza nayo na unaweza kupewa sound tu kuwa ulichelewa kufanya mchakato wa kuendeleza kiwanja chako
Ni kesi ngapi ambazo ziliibuka awamu ya tano, hadi rais magufuri kutoa amri kwa lukuvi kuwa kuanzia sasa , hati original ni ile iliyotolewa mapema(nyuma)kuliko nyingine kwani kesi za hati mbili mbili zilikuwa nyingi mno!!hiyo unayosema ni kwenye sheria tu nenda ki uhalisia, hakuna wizara iliyokuwa imeoza kama wizara ya ardhi.
- Hilo sio rahisi Kama unavyodhani.
- kwa sababu unapotaka kufanya maombi ya 'first registration' sheria Cap 334 inatakiwa itangazwe kwenye gazzette,au newspaper moja au zaidi, Sasa hapo itabidi aonyeshe ni Kwenye Gazzette lipi na Newspapers zipi zilichapisha hiyo application yake ya first registration and he must fail to prove kwa sababu sheria Cap 334 inamtaka atangaze kwenye gazzett na newspapers, itabidi ataje GN ya Gazzette iliyotangaza na Ataje Ni toleo gani vitu ambavyo sio rahisi.
Issue Ni kwamba anaweza kufoji GN Ya Gazzette? Na Newspaper?Ni kesi ngapi ambazo ziliibuka awamu ya tano, hadi rais magufuri kutoa amri kwa lukuvi kuwa kuanzia sasa , hati original ni ile iliyotolewa mapema(nyuma)kuliko nyingine kwani kesi za hati mbili mbili zilikuwa nyingi mno!!hiyo unayosema ni kwenye sheria tu nenda ki uhalisia, hakuna wizara iliyokuwa imeoza kama wizara ya ardhi.
Hilo jiulize wewe, ilikuwaje watu wengi wakajikuta, kwenye kiwanja kimoja kina hati mbili, tena zote zimetolewa na wizara ya ardhi?hadi rais kuamua kuingilia kati kuwa yule aliyepata hati kwanza ndio mwenye kiwanja?na ndio hilo tatizo lilikuwa solved kwa style hiyo.Issue Ni kwamba anaweza kufoji GN Ya Gazzette? Na Newspaper?
Matapeli ni noma, hao wanakwangua kuna muda wanahakikisha mpka unabakiwa na madeni, unavyowatafuta na ww wanaokudai wanakuwinda unajikuta unakimbia mji 😄Mkuu matapeli ni noma mimi mwaka jana nimetapeliwa katika ishu moja hivi yan mpka nakuja kujua kua nimetapiliwa aisee nilteseka sana na ile hali ubaya wa matapeli wanakwalua kiasi chote hadi akiba yako wanachukua na hawana huruma mi nasema tapeli ni mmbaya kuliko mwizi
Unachanganya kati ya title deed na offer letter. Offer letters ndio zinaweza kutoka zaidi ya mbili. Wanaoelewa haya mambo wanalifahamu hiliHahaaaa!!ni migogoro mingapi inayohusu hati rais magufuri ilibidi aingilie, na kutoa amri kuwa yule mwenye hati ya kwanza ndio mmiriki halali wa kiwanja, baada ya kuona kero ya hati mbili mbili kuzidi?
Mkuu mimi ninajua nini maana ya title deed, na mwaka 2015, mdogo wangu ilimkuta, hiyo alikuwa na hati og, ya kiwanja chake, bunju, kumbe kuna hati nyingine, mgogoro kufika wizarani, wakasimamishwa watu pale,Unachanganya kati ya title deed na offer letter. Offer letters ndio zinaweza kutoka zaidi ya mbili. Wanaolewa haya mambo wanalifahamu hili