Nimetazama interview ya hawa wanafunzi wa Kitanzania nchini Iran nikaelewa jambo

def_xcode

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
2,551
Reaction score
6,837
Wanadai maisha ya Iran ni cheap sana, ukiondoka na 1 milion TZS unaishi mwaka mzima bila shida kabisa.
Wanasema 2500 ni sawa na pesa za Iran rial 100 ambapo lita moja ya mafuta ya gari ni rial 3. hivyo yani kwa 2500 za kibongo karibu unapata rita 33 za mafuta.
Wanasema iran wana mitandao yao wenyewe hivyo kutumia mitandao ya nje ni mara chache.
Wanasema hata usafiri wa umma ni bei nafuu sana kwenda na kurudi kutoka kazini ni chini ya buku.
Pia wanasema hata na vikwazo vyote walivyowekewa, wairan wamejiandaa kukabiliana navyo na maisha yao yako sawa tu.
Hizi ni propaganda za wasioishi Iran ila waliofika ni vinginevyo.
Nimeona na black amerca fulan ni traveller ana YT channel yake, alikuwa Iran anaonyesha maiisha yao yalikuwa poa tu. Wana hadi subways, ila mtanzania asiye na vikwazo baada ya miaka 60 ya uhuru anaicheka iran akisema ina hali mbaya.

View: https://www.youtube.com/watch?v=EcBr430km-I
 
Tuunge tuje huko!
 
Watu wanatengeneza nyuklia wanakuaje Maskini?
Kama ambavyo North Korea inasemekana maisha ni magumu. Hata Iran sio mara moja kusikia kwenye vyombo vyetu pendwa vya habari wakisema maisha magumu, raia wameichoka serikali n.k. Hivyo mimi ambaye sijawahi kufika nikisikia taariifa toka kwa watanzania wenzangu waliokuwa kwenye ground napata picha tofauti.
 
Back
Top Bottom