Nimetazama interview ya hawa wanafunzi wa Kitanzania nchini Iran nikaelewa jambo

Maisha rahisi huko kote ,hawa mabepari wanataka kutumia mifumo yao ambayo inaleta gap kubwa la maskini ..Huyo Ayatollah ukioneshwa nyumba yake utashangaa ni ya kawaida sana , Kiufupi viongozi wa hapo wanapiga na pepo la umaskini linaloletwa na wazungu ..

Wazungu siku zote wanataka tabaka fulani liwe na umaskini ,hii ni mifumo yao ambayo wanaleta elimu zao , mifumo ya riba , mifumo wa kuwafanya wachache wawe juu , mfumo ya kuwe vyeo vingu.

Siku moja nitaandika uzi hapa ,uone hizo demokrasia ni ushamba ni bora kuongozwa kiongozi na familia moja milele ila kila mtu apate heshima ...Wazungu ni wajanja sana kwa kuchafua sehemu fulani.
 
Wairan wanajitambua ila mnadanganywa na wazungu .. Wenzenu wanatengeneza maisha rahisi kwa kila raia nyie kazi kujaza vyeti ,badala mchague maisha rahisi eti demokrasia.
Tunadanganywa sio mnadanganywa vinginevyo wewe ni Muirani unaejua Kiswahili.
 
Kama ambavyo North Korea inasemekana maisha ni magumu. Hata Iran sio mara moja kusikia kwenye vyombo vyetu pendwa vya habari wakisema maisha magumu, raia wameichoka serikali n.k. Hivyo mimi ambaye sijawahi kufika nikisikia taariifa toka kwa watanzania wenzangu waliokuwa kwenye ground napata picha tofauti.
North korea hakuna maisha magumu ,wazungu ni watu wabaya sana ..Wajinga wa humu waliokariri elimu zao,watakuja na ule ujinga wa GDP ...Wasomi wote wanakariri hizo GDP ili kupima uchumi muda huo wananchi hawajulikani wanakula nn.
 
Maisha rahisi huko kote ,hawa mabepari wanataka kutumia mifumo yao ambayo inaleta gap kubwa la maskini ..Huyo Ayatollah ukioneshwa nyumba yake utashangaa ni ya kawaida sana , Kiufupi viongozi wa hapo wanapiga na pepo la umaskini linaloletwa na wazungu ..

Wazungu siku zote wanataka tabaka fulani liwe na umaskini ,hii ni mifumo yao ambayo wanaleta elimu zao , mifumo ya riba , mifumo wa kuwafanya wachache wawe juu , mfumo ya kuwe vyeo vingu.

Siku moja nitaandika uzi hapa ,uone hizo demokrasia ni ushamba ni bora kuongozwa kiongozi na familia moja milele ila kila mtu apate heshima ...Wazungu ni wajanja sana kwa kuchafua sehemu fulani.
Chief suala la matabaka haliepukiki
Waislam wanasema pepo ina matabaka 7 kama sio nane.
Hiyo ni kuonesha tu hata huko mbinguni kuna matabaka how duaniani kusiwe na matabaka?
 
Ukumbuke kwenye nchi zinazoidai Tanzania madeni makubwa namba moja ni Iran , kwa mtanzania kumcheka muajemi ni kujicheka mwenyewe, Iran Wana viwanda vya magari yao, ndege zao, silaha zao , bidhaa mbalimbali za viwandani hutengeneza wenyewe , viongozi wao wako focused toka miaka ya 1970 Wana vikwazo lakini wanaishi vizuri sana tatizo kubwa watanzania hawatembei hivo maarifa ya maisha sehemu nyingine hawana kabisa
 
Chief suala la matabaka haliepukiki
Waislam wanasema pepo ina matabaka 7 kama sio nane.
Hiyo ni kuonesha tu hata huko mbinguni kuna matabaka how duaniani kusiwe na matabaka?
Sasa wakati kila mtu anaweza kuiptaa ,mbaya mnadanganywa na demokrasia mko nyuma sana ...Oneni ujinga uko hapa! Viongozi wa kisiasa wanasomesha watoto wao shule za international ila wanawatungia sheria za elimu yenu ambayo watoto wao hawasomi.

Demokrasia ni utapeli na ujinga wa mzungu kuwapumbaza badala ya kufanya kazi ,mtu una master's of science unaenda kugombea ubunge ili akili ilale upige porojo pale bungeni sio utendaji...Siku ikiondoka demokrasia na mfumo wa mzungu tutaishi bila ya umaskini.
 
Kwamba Kuna mtu anasema Tehran maisha ni magumu🤔!?
Irani ni nchi nzuri sana ila pia vikwazo visingekuwepo wangekuwa mbali zaidi ya hapo
Mafuta lazima yawe cheap hawana pa kuyauza kwa wingi
 
Sasa wakati kila mtu anaweza kuiptaa ,mbaya mnadanganywa na demokrasia mko nyuma sana ...Oneni ujinga uko hapa! Viongozi wa kisiasa wanasomesha watoto wao shule za international ila wanawatungia sheria za elimu yenu ambayo watoto wao hawasomi.

Demokrasia ni utapeli na ujinga wa mzungu kuwapumbaza badala ya kufanya kazi ,mtu una master's of science unaenda kugombea ubunge ili akili ilale upige porojo pale bungeni sio utendaji...Siku ikiondoka demokrasia na mfumo wa mzungu tutaishi bila ya umaskini.
Habibu mimi napendelea utawala wa Kisultan.
Unanielewa nikisema kisultani?
Yes nikiangalia utawala wa sultan sayyid ali pale kilwa kisha utawala wa ban sayyid busaid hapo Zanzibar na Oman
Utawala wa kule uturuki njoo mpaka hapo Ethiopia na namna majengo wa kale yalivojengwaga napata kusema niishie hapa.
 
Chief suala la matabaka haliepukiki
Waislam wanasema pepo ina matabaka 7 kama sio nane.
Hiyo ni kuonesha tu hata huko mbinguni kuna matabaka how duaniani kusiwe na matabaka?
Sitaki pepo yenye matabaka.
 
Back
Top Bottom