Tuunge tuje huko!Wanadai maisha ya Iran ni cheap sana, ukiondoka na 1 milion TZS unaishi mwaka mzima bila shida kabisa.
Wanasema 2500 ni sawa na pesa za Iran rial 100 ambapo lita moja ya mafuta ya gari ni rial 3. hivyo yani kwa 2500 za kibongo karibu unapata rita 33 za mafuta.
Wanasema iran wana mitandao yao wenyewe hivyo kutumia mitandao ya nje ni mara chache.
Wanasema hata usafiri wa umma ni bei nafuu sana kwenda na kurudi kutoka kazini ni chini ya buku.
Pia wanasema hata na vikwazo vyote walivyowekewa, wairan wamejiandaa kukabiliana navyo na maisha yao yako sawa tu.
Hizi ni propaganda za wasioishi Iran ila waliofika ni vinginevyo.
Nimeona na black amerca fulan ni traveller ana YT channel yake, alikuwa Iran anaonyesha maiisha yao yalikuwa poa tu. Wana hadi subways, ila mtanzania asiye na vikwazo baada ya miaka 60 ya uhuru anaicheka iran akisema ina hali mbaya.
View: https://www.youtube.com/watch?v=EcBr430km-I
Iran maisha ni rahisi kuliko watu wanavyofikiriPoint yako wewe kama wewe ni nini labda!
Tuhamie IranPoint yako wewe kama wewe ni nini labda!
Point yangu mimi kama mimi ni kuwa maisha ya Iran si magumu kama tunavyoaminishwa na yana afadhali kuliko nchi nyingi za Afrika zisizo na vikwazo. OverPoint yako wewe kama wewe ni nini labda!
Ukuona hivo ni ngumu mwananchi wa kawaida kukua kiuchumi binafsi.Iran maisha ni rahisi kuliko watu wanavyofikiri
Twendeni IraniTuhamie Iran
Kumbe ulishaaminishwa maisha ya Irani ni magumu!Point yangu mimi kama mimi ni kuwa maisha ya Iran si magumu kama tunavyoaminishwa na yana afadhali kuliko nchi nyingi za Afrika zisizo na vikwazo. Over
Unfortunately hilo hawajaulizwa kwenye interview... maana hawa ni wanafunzi waliorejea baada ya vita mmoja alikuwa anasoma computer science mwingine masuala ya afya.Mshahara kima cha chini huko ni kiasi gani?
Wana akili sana wako vizuriKwa middle east sidhani kama kuna nchi inawafikia akili waajemi..
Kipimo kidogo tu, unampiga mtu vikwazo for almost 50 years halafu bado wananchi wanaishi maisha nafuu na wanaendelea kiteknolojia kwa kasi.
Watu wanatengeneza nyuklia wanakuaje Maskini? Utalinganisha na nyie mnaoagiza mpaka tooth pickPoint yangu mimi kama mimi ni kuwa maisha ya Iran si magumu kama tunavyoaminishwa na yana afadhali kuliko nchi nyingi za Afrika zisizo na vikwazo. Over
Wairan wanajitambua ila mnadanganywa na wazungu .. Wenzenu wanatengeneza maisha rahisi kwa kila raia nyie kazi kujaza vyeti ,badala mchague maisha rahisi eti demokrasia.Point yako wewe kama wewe ni nini labda!
Kama ambavyo North Korea inasemekana maisha ni magumu. Hata Iran sio mara moja kusikia kwenye vyombo vyetu pendwa vya habari wakisema maisha magumu, raia wameichoka serikali n.k. Hivyo mimi ambaye sijawahi kufika nikisikia taariifa toka kwa watanzania wenzangu waliokuwa kwenye ground napata picha tofauti.Watu wanatengeneza nyuklia wanakuaje Maskini?