Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

Mchuma janga hula na wa kwao!!
Kama una ndgu nenda wakusaidie ukajifungue, usijitie usuperwoman utampoteza mtoto au wewe au wote.
Kama una ndgu ni heri lawama kuliko fedheha/kifo kabisa.

Ningekua na uwezo ningekusaidia tu usifanye kazi hadi ujifungue.
 
Wewe ndiye uliyeleta bandiko kuwa kuna rafiki yako anahitaji mtu, kumbe ni wewe. Ukawa na kiingereza kingiiiiii. You know za kutosha sana. Vumilia tu dada, that was your choise, stick to it.
 
polee sana kwa unayo pitia ndugu na dada yangu....
 
Atakaye zaliwa ni mjomba wetu JF inabidi wanaume tufanye jambo hapa.. hasa wale vijana wanapiga kelele za kukimbia mimba waje hapa tujadili Kwa kina tunamsaidiaje huyu dada.
 
daah mkuu
 
Usimchafue kijana wa watu sometimes nyie wadada mnaforce vitu ambavyo ni unreality kabisa km alishakwambia yy hawezi kulea mimba kwann wewe ukajiachia mwaah.. acha kutia watu ubaya!
Hata mimi nimejiuliza hili, kama kijana alimwambia ukweli kwanini yeye akajiachia kama hivyo?
Nazani aliwaza mimba ndiyo itakayodumisha ukaribu wao na matokeo yake imekuwa vice versa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…