Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

Kwaiyo uyo jamnaa yupo humu aasoma coment, sasa mnavyowekaga vigezo vingi vya kitafuta mwenza mnamaanisha nini ilihali unaangukia ktk jiwe gumu kama hili,
 
Hata mimi nimejiuliza hili, kama kijana alimwambia ukweli kwanini yeye akajiachia kama hivyo?
Nazani aliwaza mimba ndiyo itakayodumisha ukaribu wao na matokeo yake imekuwa vice versa.
Very true !Wanaume wengi sana tunaangukia pua katika hili
 
Ushaliwa kaa tulia
 
Asante
 
Asante.
 
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…