Na mipango mlipanga ya kufunga ndoa kisha akatae ujauzito weeee best hii story yako mbona umeficha jambo si kawaida kutokea hivi.Baada ya muda tukapanga mipango ya kuanza mikakati ya kufunga ndoa.
Asante sanaPole sana dada yangu Mungu akufanyie wepesi.
Asante sana kwa kunitia moyo.Hongera sana lakini wapo wengi wanatamani wapate mimba hawapati hilo sio janga .....kila jambo lina mwisho wake japo njia inaweza kuwa ngumu jitie nguvu miss
iko kama ile nyimbo ya jerahaNa mipango mlipanga ya kufunga ndoa kisha akatae ujauzito weeee best hii story yako mbona umeficha jambo si kawaida kutokea hivi.
Kufuatia uandishi wako...!
1.Wewe ni mtu mzima mwenye umri kati ya 35-40
2.Uliingia kwenye mahusiano na mume wa mtu
3.Ulikuwa una tafuta mume Kwa mhemuko wa kuzaa
4.Hakuna mimba ya bahati mbaya kwenye umri wako ,ulikuwa unajua unacho kufanya
5.Mwanaume alikuwa ana stress zake na hustling zake za maisha hakuwa serious
Kufuatia uandishi wako...!
1.Wewe ni mtu mzima mwenye umri kati ya 35-40
2.Uliingia kwenye mahusiano na mume wa mtu
3.Ulikuwa una tafuta mume Kwa mhemuko wa kuzaa
4.Hakuna mimba ya bahati mbaya kwenye umri wako ,ulikuwa unajua unacho kufanya
5.Mwanaume alikuwa ana stress zake na hustling zake za maisha
Asante kwa unabii wako. Kila mtu hapa ana uhuru wa kutabiri jinsi anavyoona ni vyema moyoni mwake.Kufuatia uandishi wako...!
1.Wewe ni mtu mzima mwenye umri kati ya 35-40
2.Uliingia kwenye mahusiano na mume wa mtu
3.Ulikuwa una tafuta mume Kwa mhemuko wa kuzaa
4.Hakuna mimba ya bahati mbaya kwenye umri wako ,ulikuwa unajua unacho kufanya
5.Mwanaume alikuwa ana stress zake na hustling zake za maisha hakuwa serious
Asante natafuta kazi wangu sio mchango wa fedhaWekaa namba hapa tukuchangia rfk
1. Nashindwa kukupa pole kwani matokeo ni makubaliano yenu.Watu wa Mungu mpoo?
Mimi ni member wa JF tangu miaka ilopita nimekuja na ID tofauti ili nieleze yaliyonikuta iwe funzo na ushuhuda kwa wengine.
Niliweka post hapa mika ilopita na kwa bahati tu sijui niseme nzuri au mbaya ila Mungu ndio anajua, nikapata mwanaume ambaye tulianza mahusiano ambayo yalikuwa siriazi kidogo.
Baada ya muda tukapanga mipango ya kuanza mikakati ya kufunga ndoa. Na wakati huo huo ujauzito ukawa umeingia kwangu. Sasa tangu nilipomwambia yule mwanaume kuwa nina ujauzito aliniblock simu na namba zote mawasiliano hakuna. Hadi leo amenitelekezea ujauzito. Alichoniambia mara ya mwisho kabla hajanikimbia ni "wewe ulivyobeba ujauzito si ulijua unabeba ujauzito na sina pesa za kukutunza" kwa maana hiyo nipambane na hali yangu mwenyewe.
Kiukweli maisha kwangu yamekuwa magumu maana ujauzito umefikisha miezi saba na siwezi kufanya kazi nilokuwa nafanya hapo mwanzo. Daktari alinisahuri niachane nayo maana ni kazi ya kusimama zaidi ya masaa saba endapo nitapata wateja mfululizo.
Me nimeleta hili janga lilonipata ili tuendelee kuwa makini humu. Tusikurupukie watu sio wote ni wazuri kama tunavyodhani
Pia nimekuja kuomba kwa yeyote anayeweza kuniajiri kwa kazi yoyote ambayo sio ya kusimama muda mrefu kwa muda wa miezi hii mitatu ya mwishoni nina uhitaji wa kazi ili walao nipate pesa kwa ajili ya kujifungua maana sina msaada wowote wa kifedha wala vifaa vya kujifungulia. Sina matatizo yoyote ya afya hadi sasa yatakayonifanya nishindwe kuhuduria kwenye kazi hiyo nitakayoipata.
Kwa vigezo mimi ni mhitimu wa elimu ya kidato cha sita najua lugha ya kiswahili na kiingereza pia ninajua kutumia komputa vizuri. Naahidi kwamba atakaeniajiri hatajuta licha ya kuwa mimi ni mjamzito.
Mungu awabariki sana.
Umemkomalia sana mkuu.Mimi hata sikuonei huruma... Nyie wanawake mashetan sana si bure hata hii adithi umeitunga na hata kama ni kweli haituhusu... Mwanaume na akili zake timamu akufanyie hvyo kwanin..? Lazima utakuwa una matatizo sio bure..? Yaani nyie wanawake mkitaka misaada mnaona njia nzuri ni kusingizia wanaume... Sister nakushauri muombe mungu wako akupambanie hakuna namna... Tatzo mnapenda kuparamia wanaume wa watu nina uhakika umepora wanaume za watu sasa malipo ni hapahapa duniani yamekukuta zamu yako sasa... Eti unasema una watahadharisha wenzako hivi unadhan nyie mnajitambua basi? Sasa hivi kuna wenzako wanakucheka tu wapo inbox wanajibebisha kwa wanaume wa watu humu JF IG FB Twtr...
Wanaume ni watu wazuri sana ukiishi nao kwa heshima ila ni mbwa 😂 (kama mnavyotuita) kama ukionyesha dharau kiburi na jeuri... KARMA is Real ✌️ am out
Mtafutie kakibarua kamsaidie kama unawezaPole....ila huku ni kuwapa watoto tu mateso
Unajitafutia matatizo, Kuna jamaa juzi kaenda polisi kuzuia mazishi ya mtoto wa kumlea asizikwe kwa Imani ya kiislamu.Mimi nikuhudumie kila kitu ila kwa sharti moja tu.
Mtoto atakuwa wangu, na mawasiliano na huyo bwege yakome
Sijaelewa vizuri maana maelezo yake yanagongana.1. Nashindwa kukupa pole kwani matokeo ni makubaliano yenu.
2. Naogopa kusema zaidi, umesema tujihadhari na watu wa humu lkn bado unataka watu wa humu wakusaidie.
3. Joannah tunawezaje kumsaidia huyu mtu na tufanye kama kwa Bwana?
Pigia mstariSijaelewa vizuri maana maelezo yake yanagongana.
Huyo mchumba wake ni mjeifu au ?maana naona Kuna ukakasi kidogo
No walianza urafiki tu na kupeana utamu.Dah,Hadi kufika stage ya ndoa halafu kaikana mimba hii imekaaje?
🤣🤣🤣Shamba la bwana heri,mbuzi wa bwana heri..No walianza urafiki tu na kupeana utamu.
Dada kaachia mbuzi kala shamba
Jf utaiweza sasa? Au unatamani nitajwe ufurahi😂😂😂🤣🤣🤣Shamba la bwana heri,mbuzi wa bwana heri..
Angemtaja kwanza tumsomee risala la kuikimbia damu yake.