Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

Hata mimi nimejiuliza hili, kama kijana alimwambia ukweli kwanini yeye akajiachia kama hivyo?
Nazani aliwaza mimba ndiyo itakayodumisha ukaribu wao na matokeo yake imekuwa vice versa.
kijana hakusema ukweli mnaoudhani nyie kuna mambo usipoyajua ni kama usiku wa giza jamani. Asanteni kwa mchango wenu kila mmoja hapa ana uhuru wa kuchangia kile anachokiwaza. Mbarikiwe
 
Aisee mi siamini kuna mwanamke anaweza kuwa mjinga kiasi hiki duuuh. Hapana bana

Yaani umkubalie kumzalia kapuku kweli asiye na direction na maisha...

Au alilogwa sio akili zake hizi, mi nakataa kwa kweli..

Yaani vitu vingine ni kutumia akili ndogo tu lakini hii nakataa asee,

Chai ya moto kabisa
Asante kwa mchango wako wangu. Barikiwa
 
Pole Sana ,ushauri Mimba ya miezi Saba ni Bora ungefanya mpango wa Kupata hela Kama 1M ili ikusaidie for two months to come just easily .

Ukifanya Kazi ngumu inaweza kukuleta implication katika uzazi wako. Then naona ur very depressed na life jaribu kukaa upande wa kushukuru Mungu na sio kulaumu alikupa Mimba
 
Sina cha ku comment kwa kweli

Ila nyie wanawake nawapa ushauri wa bure:

Most of us men huku JF ni dont care humu, na wengi hatupo serious tunapenda chini tu tukimwaga wazungu ndo biashara imeishia hapo....

Punguzeni kujirahisisha na maneno yetu matamu matamu maana tutazidi kuwaumiza, to some of us.

Pia hizo PM zenu ni bora mngefunga tu.

I mean no malice....

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 SEMA HIKI KISA NAONA NI KAMA CHAI HIVI. SIJUI KWANN

YOU CAN'T BE THIS DUMB. AU NI MIMI SIJAELEWA
Asante kwa ushauri mtu wa Mungu.
 
Hii thread nashangaa kwann inanifurahisha au ni sigara na bangi nilizovuta.

Unajua nacheka kweli hapa nilipo....

Duuh au ni usingizi 🤣🤣🤣🤣🤣

Hivi mtu anawezaje kuwa mjinga kiasi hiki....
Wakati wowote mtu yeyote anaweza kuwa mjinga jamani. Mjanja ni Mungu pekee hata Adam nafikiri alijiuliza sana alipojikuta kadanganywa kula tunda alijiona mjinga sana. Kwa hiyo tuombe Mungu sana ujinga upite mbali na sisi. Asante
 
Ni noma sana ukute mwenye mzigo wje yupo hapa na anachangia Kwa maneno makali 😅😅
Tena namuona yupo hapa na Id zake nazozifahamu anajitahidi kunichafua kwa maneno makali kweli. Binadamu sisi jamani hehehehee tutafika peponi tumechoka sana.
 
Aisee mi siamini kuna mwanamke anaweza kuwa mjinga kiasi hiki duuuh. Hapana bana

Yaani umkubalie kumzalia kapuku kweli asiye na direction na maisha...

Au alilogwa sio akili zake hizi, mi nakataa kwa kweli..

Yaani vitu vingine ni kutumia akili ndogo tu lakini hii nakataa asee,

Chai ya moto kabisa
Kwahio makapuku hatuna haki ya kuzaliwa au sio? 🤣
 
Watu wa humu ndani huwa mnajikutaa... Ingekuwa hakuna mwanamke anayekubali kuzaa na kapuku basi wengi wetu humu tusingezaliwa. Sijui hata unafikiria kwa kutumia nini au mwenzetu unaishi ulaya mfyuuu
 
Kwahio makapuku hatuna haki ya kuzaliwa au sio? 🤣
🤣🤣🤣🤣🤣, hii scenario umeisoma vizuri lakini mkuu, ishu ni kuwa kapuku dont care. Yaani ambaye huna direction ya maisha.

Sasa kama mtu katelekeza mimba si obvious huyo hajielewi. Au hujui damu ya mtoto inaweza mtafuna mpaka anavyoingia kaburini....

Sijawahi ona ke mjinga kama mtoa mada...

Tatizo wabongo wengi ni wapumbavu kama sehemu zao za siri....

Mfano.
Hujawahi jiuliza kwann ma mbele ma single maza wanawezeshwa na serikali kupitia sheria kali za watoto kule hamna kukimbia mimba mkuuu. Ndo maana una shauriwa ufanye hata vasectomy ukienda huko..

Sasa huku wanakojolewa hovyo mpaka na wanywa gongo unategemea nn kama sio shida juu ya shida

Tena ukute chizi maarifa ndo aliyemtia mimba au genta aiseee.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Acha nicheke tu hii thread haijanigusa hata chembe na sijui kwann.
 
Shida watu hawataki kuambiwa ukweli we unaona Mwanaume kula yake shida,Vaa yake ni mtihani,Lipa yake kodi mpaka atishiwe notisii bado unaitegesha sindano huzioni au vidonge.
 
Back
Top Bottom