Nimetembea mikoa mingi Tanzania, moja ya mikoa iliyochoka mbaya basi ni Mara

Nimetembea mikoa mingi Tanzania, moja ya mikoa iliyochoka mbaya basi ni Mara

Ukimaanisha Tarime inachangia mapato makubwa hasa kwa madini naweza kukuelewa lakini kinachopatikana hakiendani na maendeleo ya Tarime, ni sehemu iliyochoka
Tarime haiwezi na haitakaa iweze kuchangia mapato makubwa kuliko Arusha....NEVER, aweke hapa rekodi ya mwaka jana tu au miaka mitatu nyuma
 
Tarime haiwezi na haitakaa iweze kuchangia mapato makubwa kuliko Arusha....NEVER, aweke hapa rekodi ya mwaka jana tu au miaka mitatu nyuma
For sure, Arusha kuna viwanda, maduka makubwa, mahoteli, nyumba nyingi sana, biashara kibao, n.k. vyote hivi ni vyanzo vya kodi.

Tarime wanachotengenea zaidi ni madini tu na kwa kiasi kikubwa wanufaika ni kampuni za wazungu ambao wana mkataba tayari.
 
For sure, Arusha kuna viwanda, maduka makubwa, mahoteli, nyumba nyingi sana, biashara kibao, n.k. vyote hivi ni vyanzo vya kodi.

Tarime wanachotengenea zaidi ni madini tu na kwa kiasi kikubwa wanufaika ni kampuni za wazungu ambao wana mkataba tayari.
Mapato tu ya Ngorongoro peke yake yanaizidi hayo ya Tarime
 
Kamda ya ziwa ukiondoa Mwanza, Tena Mwanza yenyewe ni zile wilaya mbili kulikobaki kote ni Takataka na hii ni karibia kanda zote nchi nzima kuna umaskini sana miondombinu mibovu sanaaa

Kama Taifa wamekazana na Dar na DOM, Pesa yakujenga Barabara Dar au project yoyote huwa haikosekani kabisa, ila Pesa ya kuungamisha Mtama na Newala hakuna Bunda kwenda Mungumu serengeti kupitia Nyamuswa hakuna, Ukifika Kahama manemo unayosikia inavyosofiwa na ukifika ni ardhi na Mbingu mji umechoka, Katikati ya Dodoma na Singida kuna umaskini wa kufa mtu, Singida Manispaa hapa mjini unaumaliza mji kwa Dakika 3

Issue nchi yetu haina vipaimnele kabisa na miji mingine zaidi ya Dar na DOM!!
 
Nimeishi Dar, Mwanza, Mbeya, Iringa, Njombe, Tanga, Mtwara, Singida, na Mara, nichukue fursa hii kusema wazi mkoa wa Mara unatia huruma.

- Naweza kusema kwa uhakika ndio mkoa wenye stendi mbovu zaidi nchi nzima, stendi ya Musoma Mjini haina tofauti na kiwanja cha wazi chenye madimbwi.

- Musoma mjini pamepoa sana, mzunguko wa pesa ni mdogo sana, mji mdogo.

-Mkoa mzima hauna chuo chochote wala kampasi inayofahamika kitaifa, chuo kinachofahamika zaidi ni Musoma utalii college wanachotoa kozi za udereva, upishi, ualimu wa chekechea, n.k. kuna chuo kipo Butiama kinajengwa tangu enzi za kikwete.

- Mkoa una Mbuga ya Serengeti yenye umaarufu mkubwa duniani na kutembelewa na watu wengi maarufu lakini mapato yanaenda Arusha, hadi kuna muda watu huwa wanadhani mbuga ipo Arusha, Utalii ni sekta inayoongoza kwa pesa kuzidi hata madini.

- Kielimu bado mkoa upo nyuma, wanaosifiwaga kuelimika mkoa wa Mara ni wakerewe, Ukerewe ipo Mwanza sio Mara, ukitaka kuhakikiha hili fuatilia matokeo ya form 4 shule za Mara, huwa zipo nyuma sana kitaifa, watu wanafeli vibaya mno !

- Kisiasa mkoa upo active zaidi kwenye siasa za upinzani na imekuwa sehemu ya kutoa wanaharakati wengi kwenye mambo ya mabadiliko, ila kwenye siasa za chama tawala ccm bado mkoa upo nyuma, hakuna wabunge wenye vyeo vikubwa au ushawishi mkubwa kitaifa

- Kuna mambo ya kizamani ya kuendelea kuamini uanaume ni kutahiriwa bila ganzi wakati ulimwengu wa sasa unajali zaidi elimu, pesa na nguvu ya kisiasa

- Vijana wengi wanaofanikiwa nje ya mkoa hawana utamaduni wa kujenga mkoa wao
Umeandika mkoa wa Mara kana kwamba ndo mkoa wa hovyo zaidi Tanzania.. sema ni maoni yako Lazima yaheshimiwe...

Ila kwa uzoefu wangu mkoa wa Mara haujachoka kiasi hicho ulichoandika vinginevyo una chuki zako tu binafsi...

Mi ntazungumiza mambo mawili tu kiuchumi na kijamii

Umesema mkoa wa Mara mzunguko wa pesa upo chini... Lakini reference yako umetumia musoma peke yake je vipi kuhusu wilaya ya Tarime? Ushafika sirari au Nyamongo ? Ukishindwa kutoboa hapo we ndo basi tena...

Hata Kule Musoma mjini fursa zipo kibao tu kuanzia biashara ya Mazao ya majini kama samaki, dagaa na mabondo..

Kuhusu mtu kutahiriwa kwa kisu Kuna mdau kashachangia vyema...
 
Back
Top Bottom