NIMETHIBITISHA: Dunia haipo, ni unaota tu!

NIMETHIBITISHA: Dunia haipo, ni unaota tu!

Again unaundermine uwezo wa AI...kitu kikiwa preprogrammed kuamini kitu fulani ni ngumu kukiyumbisha kama wewe ulivyokuwa programmed na aliyekutengeneza kuwa wewe ni halisia...yawezekana hata hapa nachati na roboti...unaweza kunithibitishia wewe ni mtu halisia??
Tatizo lako unapelekwa na dhana, yaani kila sehemu unaandika ".....yawezekana.... " huna uhakika na unacho kidai. Hili tatizo.

Unaweza kuniambia mimi nimetengenezwa na nani ?

Pili, nithibitishie ya kuwa mimi nimekuwa "programmed".
Sasa kama anajua kesho utaenda kanisani kesho ukienda kanisani utasemaje kuwa wewe ndo umepanga kwenda wakati ni kama unacheza igizo na unafata script
Kujua kwake hakuhusiani na mimi kufanya jambo hilo au kutofanya jambo hilo. Anajua sababu ana uwezo huo wa kujua.
 
Tatizo lako unapelekwa na dhana, yaani kila sehemu unaandika ".....yawezekana.... " huna uhakika na unacho kidai. Hili tatizo.

Unaweza kuniambia mimi nimetengenezwa na nani ?

Pili, nithibitishie ya kuwa mimi nimekuwa "programmed".

Kujua kwake hakuhusiani na mimi kufanya jambo hilo au kutofanya jambo hilo. Anajua sababu ana uwezo huo wa kujua.

Kwanza, Sio kila "yawezekana " ni nadharia nyingine ni probability kwasababu huwezi kuwa na uhakika na chochote kwa 100%.
Ndomana nikasema sina uhakika kuwa wewe ni mtu au ni program nachati nayo kunipotezea muda...badala ya kuruka kuhusu neno moja ungenithibitishia wewe ni mtu 'halisi'....mimi sijui aliyekutengeneza kama vile wanavisesere hawatujui tuliowatengeneza lakini nachojua umetengenezwa...au wewe umejitengeneza??
Pili,wewe kama msomi tafadhali weka arguments kisomi...kama Huyo Mungu anajua kesho utaenda kanisani,unataka kusema haihusiani na uwezo wa machaguo yako ya kwenda kanisani?? Kama kweli una uwezo wa kuchagua inamaana kesho ndo angejua pindi unaenda kanisani lakini kama hata leo anajua basi wewe hauna free will inamaana kesho lazima uende tu hata ufanyeje umeshapangiwa ivyo.

Chagua moja huwezi kuwa na vyote either Mungu haijui kesho yako au wewe hauna free will
 
Kwanza, Sio kila "yawezekana " ni nadharia nyingine ni probability kwasababu huwezi kuwa na uhakika na chochote kwa 100%.
Sasa mbona hujui hata tofauti ya hayo maneno ? Hili tatizo lingine mzee, nadharia ndio yawezekana na ndio "probability" yenyewe,hujaandika kipya hapa zaidi ya kudhihirisha kutokujua maana ya mananeno husika.
Ndomana nikasema sina uhakika kuwa wewe ni mtu au ni program nachati nayo kunipotezea muda...
Nilikwambia huko nyuma ya kuwa unavyo andika ni dhana tu na huwezi kuthibitisha hata kimoja, haya ni matumizi mabaya ya akili.
badala ya kuruka kuhusu neno moja ungenithibitishia wewe ni mtu 'halisi'....
Inaonekana unakubali bila kusoma, nimekuthibitishia ya kuwa mimi ni mtu kwa nukta nyingi huko nyuma, nukta ambazo hao wanasesere hawana sifa na ithibati moja ni kuwa mimi ni hai sababu nina ufahamu na uhuru wa kuchagua. Sasa wewe ambae unadai hata hao wanasesere wana dhani halafu unashindwa kuonyesha kudhani kwao, huu ni ujinga ulio chupa mipaka.

Nikuthibitishie mara ngapi kama mimi ni mtu halisi ? Ninaona, nina shika, ninafanya maamuzi nina kumbukumbu, nina hisia na mengine mengi,na hapa naandika muda huu.
mimi sijui aliyekutengeneza kama vile wanavisesere hawatujui tuliowatengeneza lakini nachojua umetengenezwa...au wewe umejitengeneza??
Haoa naona najadikiana na mtu asie jitambua halafu anasema kuwa anajua nimetengenezwa lakini hajui nani amenitengeneza, sasa kwanini unajadiki jambo usilolijua mzee ?

Mimi nimeumbwa na mwanadamu hatengenezwi mzee. Hata matumizi ya maneno hujui.
Pili,wewe kama msomi tafadhali weka arguments kisomi...kama Huyo Mungu anajua kesho utaenda kanisani,unataka kusema haihusiani na uwezo wa machaguo yako ya kwenda kanisani??
Sio kwamba niweke "arguments" kisomi, sema hujaelewa kilicho andikwa. Haihusiani sababu hanizui mimi kufanya hilo sababu amenipa uhuru. Hili jepesi sana, nashangaa kwanini huelewi, inaonyesha hufikirii zaidi ya ugonjwa wako wa kufata dhana hili tatizo lako, na hoja nimekuwekea.
Kama kweli una uwezo wa kuchagua inamaana kesho ndo angejua pindi unaenda kanisani lakini kama hata leo anajua basi wewe hauna free will inamaana kesho lazima uende tu hata ufanyeje umeshapangiwa ivyo.
Hii ndio maana ya Mola wetu kuwa muweza wa kila kity, yaani hana kizuizi, na unayotaka wewe yawe ambayo hayawezi kuwa wala hayajawahi kuwa ni udhaifu, na Mola wetu sisi ni mkamilifu.
Chagua moja huwezi kuwa na vyote either Mungu haijui kesho yako au wewe hauna free will
Hapo hakuna cha kuchagua moja, kwani kufanya hivyo ni kuipibga akili iliyo salama.

Mola anajua vyote ndio maana anajua hata yale ambayo hayajatokea na laiti yangetokea anajua yangekuwaje.
 
Tufanye yaishe mzee naona unao muda wa kutosha...na tunazunguka tu palepale
 
Dah we jamaa maana ya usafiri wa haraka utakuwa umeipoteza kwa huu mfano wako

Labda useme huyo mtu atakuwa kasafiri umbali ambao ulipaswa utumie miaka 100 yeye akatumia wiki moja

Lakini si kusema atakuta watu aliowaacha wakiwa vikongwe au wamekufa yeye bado akiwa bado ni chalii tu..! Hapo hapana

Mabadiliko ndani ya mwili yanahusiana vipi na kifaa cha usafiri.!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Omba ufafanuliwe sasa. Theory ilisema kwamba kitu kikienda kwa speed ya mwanga muda ndani ya hicho kitu huenda taratibu, na experiments zimefanyika kudhibitisha hiyo nadharia, sasa unataka niseme nn tena?
 
Sina maana ya kubisha, niwie radhi kama umenielewa hivyo

Ila nimeruhusu tu ufahamu wangu kwa kile ulichojaribu kuzungumzia

Nimechukua mfano uliotoa na nimejaribu kuleta kwenye uhalisia, mfano:

Tuseme naishi kigoma mwisho wa reli, nikiamua kutembea kwa miguu kutoka huko mapaka dar es salaam na kurudi kwa miguu, kama niliacha watu wamepanda maindi basi nitakuta hata kuvuna wamesha vuna kulinga na mwendo kasi niliotumia na mda niliopoteza

Lakini kama nikitumia ndege ambayo ni usafiri wa haraka japo haufanani na kifaa hicho cha kuwaziwa kinachotembea kwa spidi ya mwanga, bado nitakuta wenyeji hata chakula cha mchana yawezakana kwa siku hiyohiyo hawajala

Sasa basi ninachojaribu kusema ni kwamba maumbile ya mtu yanahusika vipi na mwendo kasi wa kitu au kifaa.!?

Kwamba nikipanda hicho kitu metabolisimu isimame kwenye mwili ila ya wengine iendelee..!? Naona labda mfano hauendani na uhalisia au jaribu kufafanua zaidi ndugu

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Walichogundua ni kuwa time is not universal..yaani sekunde moja duniani sio sekunde moja sehemu zote ulimwenguni meaning time is not absolute but relevant kulingana na speed.
Ukiwa kwenye edge ya black hole au speed ya light ambayo haina relative speed, time kwako itahesabu tofaut na mtu stationary.

Sasa katika hiyo scenario wewe hautaona tofauti. na metabolism yako itakuwa kawaida, mfano; kwa dakka 1 moyo wako utadunda mara 70 lakini kwa mtu aliye duniani stationary kwake hiyo dakika 1 kwako inaweza kuwa ni dakika tano kwake kwahyo moyo wake utadunda mara tano hence mara 350...hivo yeye ataona yuko kawaida kawaida lakini ukirudi yeye atakuwa amezeeka kuliko wewe
 
Sasa hiki unachojaribu kuelezea wewe ni topic nyengine

Kwaiyo sasa tukubaliane ni kipi kinachojaribu kugandisha utendaji wa mwili

Je ni umbali ambao wewe kama subject utakuwa upo kutoka kwenye point ya gravity ya blackhole

Au ni ule mwendo wenyewe wa mwangaza ndio utaweza kuzuia utendaji wa mwili usiendelee bila kujali kama utakuwa kwe edge ya galaxy ama la.?

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Vyote havizuii au kugandisha utendaji wa mwili.
ukiwa katika speed ya light au edge ya blackhole time ina dilate meaning time itapungua kasi kwahyo mwaka mmoja kwako inaweza kuwa miwili duniani
 
Vyote havizuii au kugandisha utendaji wa mwili.
ukiwa katika speed ya light au edge ya blackhole time ina dilate meaning time itapungua kasi kwahyo mwaka mmoja kwako inaweza kuwa miwili duniani
Time itapungua kasi.!? Hii inashangaza

Hivi unajua kwa namna unavyoelezea ni kana kwamba time ikorelated na gravity kiasi kwamba gravity inaweza kusuck time jambo ambalo kwenye akili yangu haliingii akilini.!

Kwasababu ninavyo fahamu time is illusion ni kitu tulichokipa thamani sisi wanadamu kwa matumizi yetu kama pesa tu

Sasa unaposema muda unaganda au unapungua unajua unachomaanisha.?

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Time itapungua kasi.!? Hii inashangaza

Hivi unajua kwa namna unavyoelezea ni kana kwamba time ikorelated na gravity kiasi kwamba gravity inaweza kusuck time jambo ambalo kwenye akili yangu haliingii akilini.!

Kwasababu ninavyo fahamu time is illusion ni kitu tulichokipa thamani sisi wanadamu kwa matumizi yetu kama pesa tu

Sasa unaposema muda unaganda au unapungua unajua unachomaanisha.?

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Unajua gravity inavyofanya kazi?
iko ivi,Object yenye mass inaikunja(warp) spacetime,,huo mkunjo ni kama mfano uweke mpira wa mguu juu ya neti.. Utatengeneza shimo sasa ukiweka kampira kengine kadogo kama katenesi pembeni yake ukakasukuma katauzunguka ule mpira mkubwa kama dunia inavyozunguka jua..
Maana yake kitu kinavyozidi kuwa kikubwa kinazidi kuikunja ile spacetime na hivyo kuaffect hata passage ya time.
Kwenye back hole kwasababu zina mass kubwa hivyo zinaikunja sana spacetime mpaka kusababiaha muda kuwa slow kama formula hii.
IMG_20200523_222820_689.jpeg

hapo (To) ni muda ukiwa karibu na blackhole,,(Tf) ni muda wa mtu aliye mbali na blackhole M ni mass ya blackhole na r ni umbali kutoka center ya blackhole..muda unaopungua unapatikana kwa Tf - To
Ukiiangalia vizuti utaona kuwa kadri M inazidi kuwa kubwa na r inapozidi kupungua (yani kadri black hole inapokuwa kubwa nawewe unapozidi kuwa karibu nayo) basi Muda ndo unapozidi kupungua kasi

Na kuhusu time inavyopungua kulingana na speed inaendana na formula hii
IMG_20200523_224406_562.jpeg
∆t' ni muda wa mtu anayesafiri na ∆t ni muda wa mtu aliyesimama..ukiangalia utagundua kadri mtu anapoongeza speed yaani v ikiongezeka basi ∆t' inapungua hence mtu akikimbia kwa speed inayokaribia mwanga, muda kwake utakuwa very slow
 
Ili muda uwepo unahitaji nini na nini ?

Je kimeanza kipi kati ya muda na binadamu ?
Muda ni kitu tulichobuni wandamu kutuwezesha kukadiria myenendo ya vitu ila unaweza sema ilichochewa na ulinganifu wa majira katika dunia ambayo tunaishi

Mwanadamu kaanza na mengine yakafuata
 
Muda ni kitu tulichobuni wandamu kutuwezesha kukadiria myenendo ya vitu ila unaweza sema ilichochewa na ulinganifu wa majira katika dunia ambayo tunaishi

Mwanadamu kaanza na mengine yakafuata
Unaweza kutueleza ilikuwaje mpaka muda ukabuniwa na mwanadamu ?

Sasa hayo majira si ndio Muda wenyewe kaka ?

Usiku na mchana,au jua vimemkuta mwanadamu au amevikuta ?

Ahsante.
 
Back
Top Bottom