Nimethibitisha jamii inayoongea Kiingereza ina uelewa mkubwa na IQ za juu kulinganisha na waongeaji wa Kiswahili

Amani ipi wakati huna ela? Ng'ombe kweli. Ndio msiokuwa na akili anaowasema mtoa mada.
Kwani hao wanaovunja amani na kubomoa miundombinu ya nchi yao, baada ya hapo watakuwa na fedha wotee?. Kwa taaarifa yako mnaojipeleka kihereheree ni makapuku kama nyie. Matajirii hawafanyi ujinga kama huo.
 
Hao hawakutawaliwa na mjerumani
 
Hou ndio mwisho wa uwezo wako, uswahili ni shida Sana, ni lugha yenye utamaduni wa utumwa

Maswali marahisi tu mnakimbilia matusi nyie mitanganyika mmerogwa?

Unajua finance bill yenu imesomwa lini? Ilisomwa kwa kiingereza? Umechukua hatua gani?

Unaonaje tukimwaga damu yako kwa ajili ya ukombozi wa Tanganyika?

Jibu maswali we mshangazi acha matusi.
 
Kwa mara ya kwanza nimemuona Mjamaa anaekula na kumaliza leo.

Wajamaa wenzako wanamsimamo mkali mno sasa sijui ww mjamaa wa wapi au Mswahisi?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sina mda wa kufuatilia watu walioingia madarakani kwa wizi wa kura. Hatuna bunge bali vibaka ambao ni rubber stamp ya serikali ya mafisadi
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ umenikosea sana kaka, kwa hiyo unataka kusema mimi Degree yng ni fake πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji119][emoji119][emoji119] umenikosea sana kaka, kwa hiyo unataka kusema mimi Degree yng ni fake [emoji23][emoji23]
Msingi wa degree yako ndo fake, mpaka pale tutakapo fundishwa vitu vinavyo endana na hali halisi ya maisha.
 
Uko sahihi,lugha inaweza ikakupa kujiamini, nilipokuwa nakuwa ilikuwa rahis kumtongoza msichana kwa kizungu kuliko kwa kiswahiliπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Sina mda wa kufuatilia watu walioingia madarakani kwa wizi wa kura. Hatuna bunge bali vibaka ambao ni rubber stamp ya serikali ya mafisadi

Sasa usilalamike endelea kusifia wakenya Hilo tu ndo mnaweza watanganyika.
 
Ndo Tatizo letu sisi Watanzania, yani watu tunazungumza mambo mahimu, wanaanza kukukosoa kwamba hoo sio mbongo.
Kama mimi Tayari wanaanza kujiambia mimi mkenya , duuu
 
Mbona unawaaibisha "ndugu" zako mkuu? Hujui Wakenya wakilijua hilo wataishia kuwasimanga Watanzania?
Huyo asiyejua kusoma nimeshuhudia , tena kwao ni njombe makete , uwanji huko.
Binti kafaulu darasa la 7 baba yake akagoma kuhusu ada na mahitaji ya kumpeleka form 1 akasema binti yake hajui kusoma.
Na ni kweli alikuwa hajui.
 
Mkuu tuliza boli, Biblia inasema Kila Jambo chini ya Mbingu, LINA-"WAKATI" wake, wakati huo ukifika mtu mmoja tu akitoa maagizo mbona kitawaka?!!
 
China wanazungumza kiingereza,? Japan wanazungumza kiingereza? South Korea wanazungumza kiingereza? Russia wanazungumza kiingereza? North Korea wanazungumza kiingereza? Malaysia wanazungumza kiingereza? Singapore wanazungumza kiingereza? Matafaifa yapo mengi yasiyozungumza kiingereza na yemeendelea vizuri sana, Lugha sio kikwazo , Maendeleo ni Mfumo uliopo #
 
Wachina na hao uliowataja wanajifunza kiingereza kwa kasi ajabu, labda huna exposure
 
Yaani umemaliza mkuu. Labda mitaala mipya utabadili mambo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…