Nimethibitisha: ukimuomba Mungu jambo lolote atakupa – ukitimiza vigezo na masharti haya

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
6,238
Reaction score
8,194
Ni kweli kabisa kama Yesu alivyoahidi katika Yn 14:13-14 tukimuomba Mungu jambo lolote tutapewa au tutafanyiwa. Nimethibitisha hilo mimi mwenyewe. Niliomba pesa ya kujenga nyumba na kununua gari nikapata - nilikuwa na kazi ya mshahara mdogo nikapata kazi yenye mshahara karibu mara kumi ya huo wa mwanzo! Niliomba mwenzi mzuri wa ndoa ninaye. Niliomba nifanikiwe kibiashara-wateja napata! Mungu amenipa maarifa na kunifanyia mambo mengi ambayo kwa akili zangu au kwa njia za kawaida nisingeweza kuyapata. Muda hautoshi kuyaeleza yote hapa.

Inawezekana umekuwa ukimuomba Mungu jambo fulani kwa muda mrefu hujapata. Usikate tamaa. Zingatia vigezo na masharti yafuatayo, hakika Mungu hana upendeleo, atakufanyia:

1. Omba kwa imani
"Lakini na aombe kwa imani, pasipo shaka yo yote; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari..." (Yakobo 1:6)

2. Omba sawasawa na mapenzi ya Mungu
"Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia."
(1 Yohana 5:14)

3. Tii amri za Mungu
"Na yo yote tutakayoomba tutapokea kwake, kwa kuwa tunazishika amri zake..." (1 Yohana 3:22)

4. Omba kwa Jina la Yesu
"Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya.." (Yohana 14:13)

5. Usiwachukie waliokukosea. Wasamehe kabla hujaanza maombi
"Na kila msimamapo kuomba, sameheni..." (Marko 11:25)

6. Usichoke kuomba. Omba kwa bidii mpaka upate
"Ombeni bila kukoma." ( Wathesalonike 5:17)
Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii (Yak 5:16)

7. Usiombe kwa ajili ya tamaa zako - kwa mfano, usiombe jambo fulani ili upate kisha ujionyeshe kuwa wewe ni bora kuliko wenzako
"Mnaomba wala hampati kwa sababu mnaomba vibaya, ili mpate kutosheleza tamaa zenu."
(Yakobo 4:3)

8. Funga na kuomba. Mambo mengine yanafanyika ukiongeza "gia" ya maombi(kufunga)
"Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga." (Mathayo 17:21)

9. Omba kwa Roho
"...Nitaomba kwa roho, na pia nitaomba kwa akili yangu." (1 Wakorintho 14:15)

10. Usitende dhambi. Dhambi ni kikwazo kikubwa cha kujibiwa maombi. Hivyo, tubu dhambi zako, na kuziacha kabla hujaanza kuomba. Watu waliookoka na wanaoishi maisha matakatifu wana nafasi nzuri ya kupewa lolote wanaloliomba.
"Lakini maovu yenu yamewatenga ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia." (Isaya 59:2)

Anayekataa kuisikia sheria, huyo hata sala yake ni chukizo kwa Mungu." (Mithali 28:9)
 
Kama umebarikiwa na ujumbe huu, sema: "Amen" kisha washirikishe wenzako/tuma ujumbe huu kwa ndugu na marafiki zako wasiojua Jukwaa hili.
 
Kuombeana ni njia pia nzuri ya kupata yale tunayoyaomba. Nishirikishe hitaji lako, nitasaidiana nawe kuomba. Kama ni jambo usilotaka wengine wajue, eleza tu hivyo, usije PM, please!

Mathayo 18:19-20
"Tena nawaambia, ya kwamba wawili wenu watakapopatana duniani katika jambo lolote watakaloliomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni. Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao."

Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa
(Yak 5:16-20)
 
Usikubali kudanganywa na watu wanaotumiwa na shetani kusema eti Mungu hayupo. Mungu yupo na anajibu maombi kama nilivyoshuhudia pale mwanzoni. Ila shetani hapendi ufanikiwe. Shetani hapendi uwe na furaha, ndio sababu anatumia mbinu nyingi kuwafanya watu wapuuze mambo ya kiroho, ili waendelee tu kukosa amani na furaha. Anza sasa kumuomba Mungu atakupa haja ya moyo wako.

Mpaka sasa hamjaomba chochote kwa jina langu. Ombeni nanyi mtapata ili furaha yenu ikamilike.
(Yohana 16:24)
 
IMG_1056.jpeg
 
Ni kweli kabisa kama Yesu alivyoahidi katika Yn 14:13-14 tukimuomba Mungu jambo lolote tutapewa au tutafanyiwa. Nimethibitisha hilo mimi mwenyewe. Niliomba pesa ya kujenga nyumba na kununua gari nikapata - nilikuwa na kazi ya mshahara mdogo nikapata kazi yenye mshahara karibu mara kumi ya huo wa mwanzo! Niliomba mwenzi mzuri wa ndoa ninaye. Niliomba nifanikiwe kibiashara-wateja napata! Mungu amenipa maarifa na kunifanyia mambo mengi ambayo kwa akili zangu au kwa njia za kawaida nisingeweza kuyapata. Muda hautoshi kuyaeleza yote hapa.

Inawezekana umekuwa ukimuomba Mungu jambo fulani kwa muda mrefu hujapata. Usikate tamaa. Zingatia vigezo na masharti yafuatayo, hakika Mungu hana upendeleo, atakufanyia:

1. Omba kwa imani
"Lakini na aombe kwa imani, pasipo shaka yo yote; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari..." (Yakobo 1:6)

2. Omba sawasawa na mapenzi ya Mungu
"Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia."
(1 Yohana 5:14)

3. Tii amri za Mungu
"Na yo yote tutakayoomba tutapokea kwake, kwa kuwa tunazishika amri zake..." (1 Yohana 3:22)

4. Omba kwa Jina la Yesu
"Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya.." (Yohana 14:13)

5. Usiwachukie waliokukosea. Wasamehe kabla hujaanza maombi
"Na kila msimamapo kuomba, sameheni..." (Marko 11:25)

6. Usichoke kuomba. Omba kwa bidii mpaka upate
"Ombeni bila kukoma." ( Wathesalonike 5:17)
Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii (Yak 5:16)

7. Usiombe kwa ajili ya tamaa zako - kwa mfano, usiombe jambo fulani ili upate kisha ujionyeshe kuwa wewe ni bora kuliko wenzako
"Mnaomba wala hampati kwa sababu mnaomba vibaya, ili mpate kutosheleza tamaa zenu."
(Yakobo 4:3)

8. Funga na kuomba. Mambo mengine yanafanyika ukiongeza "gia" ya maombi(kufunga)
"Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga." (Mathayo 17:21)

9. Omba kwa Roho
"...Nitaomba kwa roho, na pia nitaomba kwa akili yangu." (1 Wakorintho 14:15)

10. Usitende dhambi. Dhambi ni kikwazo kikubwa cha kujibiwa maombi. Hivyo, tubu dhambi zako, na kuziacha kabla hujaanza kuomba. Watu waliookoka na wanaoishi maisha matakatifu wana nafasi nzuri ya kupewa lolote wanaloliomba.
"Lakini maovu yenu yamewatenga ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia." (Isaya 59:2)

Anayekataa kuisikia sheria, huyo hata sala yake ni chukizo kwa Mungu." (Mithali 28:9)
Vipi ESAU na JACOB?
Mungu humpa yeyote amtakae na humnyima yeyote amtakae ili kusudi la kuchagua litimie.

Mungu baba hubariki hata walevi na wazinzi, waasherati huwapa mafanikio kuliko hata wamliliao kwa bidii..

MUNGU humpa amtakae na humnyima amtakae sio kwa nguvu zetu au akili Wala ujanja wetu ni kua mungu pekee ndie mwenye uwezo huo wa kuchagua ampe nani na amnyime nani ili kusudi la kuchagua litimie

Mfano Mungu alimpa moyo mgumu farao ili TU lile neno lake litimie.
 
N
Kuombeana ni njia pia nzuri ya kupata yale tunayoyaomba. Nishirikishe hitaji lako, nitasaidiana nawe kuomba. Kama ni jambo usilotaka wengine wajue, eleza tu hivyo, usije PM, please!

Mathayo 18:19-20
"Tena nawaambia, ya kwamba wawili wenu watakapopatana duniani katika jambo lolote watakaloliomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni. Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao."

Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa
(Yak 5:16-2n
 
Ni kweli kabisa kama Yesu alivyoahidi katika Yn 14:13-14 tukimuomba Mungu jambo lolote tutapewa au tutafanyiwa. Nimethibitisha hilo mimi mwenyewe. Niliomba pesa ya kujenga nyumba na kununua gari nikapata - nilikuwa na kazi ya mshahara mdogo nikapata kazi yenye mshahara karibu mara kumi ya huo wa mwanzo! Niliomba mwenzi mzuri wa ndoa ninaye. Niliomba nifanikiwe kibiashara-wateja napata! Mungu amenipa maarifa na kunifanyia mambo mengi ambayo kwa akili zangu au kwa njia za kawaida nisingeweza kuyapata. Muda hautoshi kuyaeleza yote hapa.

Inawezekana umekuwa ukimuomba Mungu jambo fulani kwa muda mrefu hujapata. Usikate tamaa. Zingatia vigezo na masharti yafuatayo, hakika Mungu hana upendeleo, atakufanyia:

1. Omba kwa imani
"Lakini na aombe kwa imani, pasipo shaka yo yote; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari..." (Yakobo 1:6)

2. Omba sawasawa na mapenzi ya Mungu
"Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia."
(1 Yohana 5:14)

3. Tii amri za Mungu
"Na yo yote tutakayoomba tutapokea kwake, kwa kuwa tunazishika amri zake..." (1 Yohana 3:22)

4. Omba kwa Jina la Yesu
"Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya.." (Yohana 14:13)

5. Usiwachukie waliokukosea. Wasamehe kabla hujaanza maombi
"Na kila msimamapo kuomba, sameheni..." (Marko 11:25)

6. Usichoke kuomba. Omba kwa bidii mpaka upate
"Ombeni bila kukoma." ( Wathesalonike 5:17)
Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii (Yak 5:16)

7. Usiombe kwa ajili ya tamaa zako - kwa mfano, usiombe jambo fulani ili upate kisha ujionyeshe kuwa wewe ni bora kuliko wenzako
"Mnaomba wala hampati kwa sababu mnaomba vibaya, ili mpate kutosheleza tamaa zenu."
(Yakobo 4:3)

8. Funga na kuomba. Mambo mengine yanafanyika ukiongeza "gia" ya maombi(kufunga)
"Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga." (Mathayo 17:21)

9. Omba kwa Roho
"...Nitaomba kwa roho, na pia nitaomba kwa akili yangu." (1 Wakorintho 14:15)

10. Usitende dhambi. Dhambi ni kikwazo kikubwa cha kujibiwa maombi. Hivyo, tubu dhambi zako, na kuziacha kabla hujaanza kuomba. Watu waliookoka na wanaoishi maisha matakatifu wana nafasi nzuri ya kupewa lolote wanaloliomba.
"Lakini maovu yenu yamewatenga ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia." (Isaya 59:2)

Anayekataa kuisikia sheria, huyo hata sala yake ni chukizo kwa Mungu." (Mithali 28:9)
Niombee biashara ikue
 
Ameeeeen
 
Mungu yupo ndio, but hayuko hivo mnavohisi alivyo. Alishafanya kazi yake akamaliza, haumbi kila siku kama mnavodhani, alitaka kila kitu kizaane kwa jinsi yake, akaweka mbegu za uzazi kwa binadamu na mamalian wengine wajizalishe wenyewe, na viumbe vingine kama mimea viongezeke kwa style yake na sio yeye anawaumba.

kilichobaki ni yeye anaangalia tu kuna changamoto gani inawaface viumbe wake duniani? then anasolve, sio kwa kutumia miujiza kama mnavodhani huko makanisani, bali kwa kuweka akili ya kubuni na kuvumbua solution kwa binadamu mmoja au wachache then wanakuja kufanya changes na kurekebisha mambo au shida mbalimbali duniani.

Ndio maana unaona kuna wagunduzi wa vitu na mambo mbalimbali duniani, kama madaktari bingwa, wanasayansi mbalimbali, viongozi na mashujaa mbalimbali nk, tena wengine hata hawaamini wala hawakubali hata kama kuna Mungu, wengine walevi, wauaji, mashoga nk, lakini Mungu haangalii hayo, alishaumba akamaliza, maisha ya binadamu ni chaguo la binadamu mwenyewe, na ndio maana Mungu akawapa watu elimu ya uongozi (serikali) na dini waisambaze duniani ili binadamu waheshimiane na kupendana, hivo dini ni mambo ya kutunga tu na kufikirika, hakuna sjui motoni wala ahera, ukifa umekufa.

Hayo mafanikio yako ulipata either kwa juhudi zako au bahati tu, usimuhusishe Mungu, Mungu anampenda kila binadamu, mlevi, malaya, mweusi, mweupe.
 
Unaweza fanya hayo yote na bado usifanikiwe ukajiuliza why jibu ni hujaishi kanuni za Muumba ambazo hata asiyekweny dini yeyote inambidi aishi ivyo ili afanikiwe.

Kanuni za Muumba ni hizi zifuatazo:-
1.Kuwa na Amani na kila unayekukutana naye.

2.Upendo uliopitiliza kwa wote hata adui zako,huo utafuta mauti ndani yako(hasara,magonjwa,kifo n.k) zaidi ya (wimbo 8:6)

3.Ibada ni uzalishaji kwa haki,ibada ya kweli kwa Muumba ni kufanya kazi kwa haki bila dhuluma na kanisani au kwenye kusanyiko unaenda kumshukuru kwa kukuwezesha kufanya kazi kwa haki na sio kulia na kuomboleza.

4.Kuwa msafi wa moyo (mathayo 5:8 Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Muumba.)

5.Ishi maisha ya kusamehe bila kuombwa msamaha hio itakufanya uwe na mamlaka ya kulinda MOYO
(Mithali 4:23 Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.)

6.Angalia mbele tu sio nyuma,kushoto wala kulia,ndivyo Muumba anaishi

7.Kubali msamaha wa bure kutoka kwa Muumba ili aishi ndani yako.
(Isaya 43:25 Mimi, naam, mimi, ndimi niyafutaye makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitazikumbuka dhambi zako.)
(Isaya 57:15 Maana yeye aliye juu, aliyetukuka, akaaye milele; ambaye jina lake ni Mtakatifu; asema hivi; Nakaa mimi mahali palipoinuka, palipo patakatifu; tena pamoja na yeye aliye na moyo uliotubu na kunyenyekea, ili kuzifufua roho za wanyenyekevu, na kuifufua mioyo yao waliotubu.

8.Kubali kusubiri majira na wakati kwa kila jambo maana ndivyo Muumba anataka.

9.Ishi maisha ya SHUKRANI maana shukrani ni zaidi ya maombi kwani Muumba hupendezwa na moyo wa shukrani hata Yesu miujiza yake yote alifanya kupitia shukrani.

Muumba hutufanyia vingi kila siku vinavyoonekana na visivyoonekana lakini wanaoshukuru ni wachache mno wengi ni kuomba tu na kulia.

Hata wewe kama mzazi ukiwa na watoto wawili mmoja anashukuru kwa chochote umfanyiacho na mwingine ni kuomba tu na kulia na kuomboleza yupi utamuongezea!!!

hizo ni baadhi ya kanuni muhimu za Muumba.
 
Ni kweli kabisa kama Yesu alivyoahidi katika Yn 14:13-14 tukimuomba Mungu jambo lolote tutapewa au tutafanyiwa. Nimethibitisha hilo mimi mwenyewe. Niliomba pesa ya kujenga nyumba na kununua gari nikapata - nilikuwa na kazi ya mshahara mdogo nikapata kazi yenye mshahara karibu mara kumi ya huo wa mwanzo! Niliomba mwenzi mzuri wa ndoa ninaye. Niliomba nifanikiwe kibiashara-wateja napata! Mungu amenipa maarifa na kunifanyia mambo mengi ambayo kwa akili zangu au kwa njia za kawaida nisingeweza kuyapata. Muda hautoshi kuyaeleza yote hapa.

Inawezekana umekuwa ukimuomba Mungu jambo fulani kwa muda mrefu hujapata. Usikate tamaa. Zingatia vigezo na masharti yafuatayo, hakika Mungu hana upendeleo, atakufanyia:

1. Omba kwa imani
"Lakini na aombe kwa imani, pasipo shaka yo yote; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari..." (Yakobo 1:6)

2. Omba sawasawa na mapenzi ya Mungu
"Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia."
(1 Yohana 5:14)

3. Tii amri za Mungu
"Na yo yote tutakayoomba tutapokea kwake, kwa kuwa tunazishika amri zake..." (1 Yohana 3:22)

4. Omba kwa Jina la Yesu
"Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya.." (Yohana 14:13)

5. Usiwachukie waliokukosea. Wasamehe kabla hujaanza maombi
"Na kila msimamapo kuomba, sameheni..." (Marko 11:25)

6. Usichoke kuomba. Omba kwa bidii mpaka upate
"Ombeni bila kukoma." ( Wathesalonike 5:17)
Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii (Yak 5:16)

7. Usiombe kwa ajili ya tamaa zako - kwa mfano, usiombe jambo fulani ili upate kisha ujionyeshe kuwa wewe ni bora kuliko wenzako
"Mnaomba wala hampati kwa sababu mnaomba vibaya, ili mpate kutosheleza tamaa zenu."
(Yakobo 4:3)

8. Funga na kuomba. Mambo mengine yanafanyika ukiongeza "gia" ya maombi(kufunga)
"Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga." (Mathayo 17:21)

9. Omba kwa Roho
"...Nitaomba kwa roho, na pia nitaomba kwa akili yangu." (1 Wakorintho 14:15)

10. Usitende dhambi. Dhambi ni kikwazo kikubwa cha kujibiwa maombi. Hivyo, tubu dhambi zako, na kuziacha kabla hujaanza kuomba. Watu waliookoka na wanaoishi maisha matakatifu wana nafasi nzuri ya kupewa lolote wanaloliomba.
"Lakini maovu yenu yamewatenga ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia." (Isaya 59:2)

Anayekataa kuisikia sheria, huyo hata sala yake ni chukizo kwa Mungu." (Mithali 28:9)
Na DHAMBI zinazompa kibali shetani kuzuia majibu yasikufikie, achukue baraka za ko na kuwapa wengine ni hizi za kuuchafua mwili,

1. Kuvaa mawigi nywele bandia,

2. Kuweka kucha bandia na kope ndefu kama misukule,

3.Kuvaa nguo za kubana nusu uchi,

4.Uzinzi,

5. Kuchanganya madhabahu, kanisani unaenda na kwa mganga unaenda, kufanya Mila na kushiriki Mila za ukoo.

6. Wizi na dhulma.

Conclusion.
Kujibiwa maombi kwanza uwe mtakatifu, Mungu hasikii maombi ya wenye DHAMBI.

Nk nk nk
 
Mungu yupo ndio, but hayuko hivo mnavohisi alivyo. Alishafanya kazi yake akamaliza, haumbi kila siku kama mnavodhani, alitaka kila kitu kizaane kwa jinsi yake, akaweka mbegu za uzazi kwa binadamu na mamalian wengine wajizalishe wenyewe, na viumbe vingine kama mimea viongezeke kwa style yake na sio yeye anawaumba.

kilichobaki ni yeye anaangalia tu kuna changamoto gani inawaface viumbe wake duniani? then anasolve, sio kwa kutumia miujiza kama mnavodhani huko makanisani, bali kwa kuweka akili ya kubuni na kuvumbua solution kwa binadamu mmoja au wachache then wanakuja kufanya changes na kurekebisha mambo au shida mbalimbali duniani.

Ndio maana unaona kuna wagunduzi wa vitu na mambo mbalimbali duniani, kama madaktari bingwa, wanasayansi mbalimbali, viongozi na mashujaa mbalimbali nk, tena wengine hata hawaamini wala hawakubali hata kama kuna Mungu, wengine walevi, wauaji, mashoga nk, lakini Mungu haangalii hayo, alishaumba akamaliza, maisha ya binadamu ni chaguo la binadamu mwenyewe, na ndio maana Mungu akawapa watu elimu ya uongozi (serikali) na dini waisambaze duniani ili binadamu waheshimiane na kupendana, hivo dini ni mambo ya kutunga tu na kufikirika, hakuna sjui motoni wala ahera, ukifa umekufa.

Hayo mafanikio yako ulipata either kwa juhudi zako au bahati tu, usimuhusishe Mungu, Mungu anampenda kila binadamu, mlevi, malaya, mweusi, mweupe.
Duuuuh
 
Mambo ni mengi kumbe..
Ndo maana wengi wanachagua kukanyaga mafuta.
 
Back
Top Bottom