TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,767
- 20,869
To whom was he praying?Jesus Himself followed certain principles when praying — like humility, faith, forgiveness, and persistence (see Matthew 6, Mark 11:24-25, and Luke 18:1).
To whom was he praying?Jesus Himself followed certain principles when praying — like humility, faith, forgiveness, and persistence (see Matthew 6, Mark 11:24-25, and Luke 18:1).
Ulikuwa unaomba upone magonjwa 😁😁😁😁 sawa Mimi mahitaji yalikuwa TOFAUTI kidogo .nahitaji Kama 500 milion Tsh.vipi itawezekana?Feedback ni majibu ya maombi. Ukiomba ukapata unachohitaji hiyo ndiyo itakuwa feedback. Na Mungu akipenda anaweza akakujibu instantly! Mimi nimeomba mara nyingi Mungu aniponye magonjwa, na nimekuwa nikipona papo hapo. Anza sasa utaona faida za kuomba.
Umeshaanza kuwa mchoyo mtumishi!Kanisa linalohubiri na kufundisha kuwa pasipo utakatifu hakuna atakayemuona Mungu(Ebr 12:14)
Soma Hagai 2:8Mimi mahitaji yalikuwa TOFAUTI kidogo .nahitaji Kama 500 milion Tsh.vipi itawezekana?
Ok.To God
Ezekiel 28:4 Kwa hekima yako na Kwa fahamu zako umejipatia utajili nawe umeoata fedha na dhahabu nazo zipo katika azina zako.Soma Hagai 2:8
Fedha na dhahabu yote duniani ni mali ya BWANA.
Hizo 500m ni vijisenti tu mbele za Mungu. Ukiomba kwa imani utapata.
Mwanzo 18:14
Je, kuna jambo lolote lisilowezekana kwa Mungu?
Kinachokuchanganya ni nini katika mstari huo? Huyo alitumia akili zake na ufahamu wake kupata utajiri, akajivuna, sawa na jinsi watu wengi wasiomcha Mungu wanavyofanya.Ezekiel 28:4 Kwa hekima yako na Kwa fahamu zako umejipatia utajili nawe umeoata fedha na dhahabu nazo zipo katika azina zako.
Shetani ni muongo. Unaamini kwamba miliki zote za ulimwengu ni zake?Fedha na dhahabu NI za Nani?
Luka 4:5-6 kisha ibilisi akamchukua Yesua akamuonuesha miliki zote za ulimwengu akamwambia NItakupa wewe ukiwa utaanguka kunisujudia ..
Watu wanatumia mamilioni ya pesa kwenda kutibiwa magonjwa India, wewe unaona kuomba uponyaji na ukapona bila kulipa hata senti ni jambo dogo?!!My take .tuwe makini na mambo yetu tuendele kuomba uponyaji WA magonjwa .
Hahaha umenifurahisha Kwanza umesema shetani ametumia fahamu zake na hekima zake kupata Mali alafu tena unasema shetani NI muongo ulitaka kuniamimisha Ati nikubali ulimwengu si wake .Kwa andiko ilo la Luka wapi Yesu amemkatalia shetani ?Kinachokuchanganya ni nini katika mstari huo? Huyo alitumia akili zake na ufahamu wake kupata utajiri, akajivuna, sawa na jinsi watu wengi wasiomcha Mungu wanavyofanya.
Shetani ni muongo. Unaamini kwamba miliki zote za ulimwengu ni zake?
Watu wanatumia mamilioni ya pesa kwenda kutibiwa magonjwa India, wewe unaona kuomba uponyaji na ukapona bila kulipa hata senti ni jambo dogo?!!