Kama umebarikiwa na ujumbe huu, sema: "Amen" kisha washirikishe wenzako/tuma ujumbe huu kwa ndugu na marafiki zako wasiojua Jukwaa hili.Ni kweli kabisa kama Yesu alivyoahidi katika Yn 14:13-14 tukimuomba Mungu jambo lolote tutapewa au tutafanyiwa. Nimethibitisha hilo mimi mwenyewe. Niliomba pesa ya kujenga nyumba na kununua gari nikapata - nilikuwa na kazi ya mshahara mdogo nikapata kazi yenye mshahara karibu mara kumi ya huo wa mwanzo! Niliomba mwenzi mzuri wa ndoa ninaye. Niliomba nifanikiwe kibiashara-wateja napata! Mungu amenipa maarifa na kunifanyia mambo mengi ambayo kwa akili zangu au kwa njia za kawaida nisingeweza kuyapata. Muda hautoshi kuyaeleza yote hapa.
Inawezekana umekuwa ukimuomba Mungu jambo fulani kwa muda mrefu hujapata. Usikate tamaa. Zingatia vigezo na masharti yafuatayo, hakika Mungu hana upendeleo, atakufanyia:
1. Omba kwa imani
"Lakini na aombe kwa imani, pasipo shaka yo yote; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari..." (Yakobo 1:6)
2. Omba sawasawa na mapenzi ya Mungu
"Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia."
(1 Yohana 5:14)
3. Tii amri za Mungu
"Na yo yote tutakayoomba tutapokea kwake, kwa kuwa tunazishika amri zake..." (1 Yohana 3:22)
4. Omba kwa Jina la Yesu
"Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya.." (Yohana 14:13)
5. Usiwachukie waliokukosea. Wasamehe kabla hujaanza maombi
"Na kila msimamapo kuomba, sameheni..." (Marko 11:25)
6. Usichoke kuomba. Omba kwa bidii mpaka upate
"Ombeni bila kukoma." ( Wathesalonike 5:17)
Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii (Yak 5:16)
7. Usiombe kwa ajili ya tamaa zako - kwa mfano, usiombe jambo fulani ili upate kisha ujionyeshe kuwa wewe ni bora kuliko wenzako
"Mnaomba wala hampati kwa sababu mnaomba vibaya, ili mpate kutosheleza tamaa zenu."
(Yakobo 4:3)
8. Funga na kuomba. Mambo mengine yanafanyika ukiongeza "gia" ya maombi(kufunga)
"Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga." (Mathayo 17:21)
9. Omba kwa Roho
"...Nitaomba kwa roho, na pia nitaomba kwa akili yangu." (1 Wakorintho 14:15)
10. Usitende dhambi. Dhambi ni kikwazo kikubwa cha kujibiwa maombi. Hivyo, tubu dhambi zako, na kuziacha kabla hujaanza kuomba. Watu waliookoka na wanaoishi maisha matakatifu wana nafasi nzuri ya kupewa lolote wanaloliomba.
"Lakini maovu yenu yamewatenga ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia." (Isaya 59:2)
Anayekataa kuisikia sheria, huyo hata sala yake ni chukizo kwa Mungu." (Mithali 28:9)
Vipi ESAU na JACOB?Ni kweli kabisa kama Yesu alivyoahidi katika Yn 14:13-14 tukimuomba Mungu jambo lolote tutapewa au tutafanyiwa. Nimethibitisha hilo mimi mwenyewe. Niliomba pesa ya kujenga nyumba na kununua gari nikapata - nilikuwa na kazi ya mshahara mdogo nikapata kazi yenye mshahara karibu mara kumi ya huo wa mwanzo! Niliomba mwenzi mzuri wa ndoa ninaye. Niliomba nifanikiwe kibiashara-wateja napata! Mungu amenipa maarifa na kunifanyia mambo mengi ambayo kwa akili zangu au kwa njia za kawaida nisingeweza kuyapata. Muda hautoshi kuyaeleza yote hapa.
Inawezekana umekuwa ukimuomba Mungu jambo fulani kwa muda mrefu hujapata. Usikate tamaa. Zingatia vigezo na masharti yafuatayo, hakika Mungu hana upendeleo, atakufanyia:
1. Omba kwa imani
"Lakini na aombe kwa imani, pasipo shaka yo yote; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari..." (Yakobo 1:6)
2. Omba sawasawa na mapenzi ya Mungu
"Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia."
(1 Yohana 5:14)
3. Tii amri za Mungu
"Na yo yote tutakayoomba tutapokea kwake, kwa kuwa tunazishika amri zake..." (1 Yohana 3:22)
4. Omba kwa Jina la Yesu
"Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya.." (Yohana 14:13)
5. Usiwachukie waliokukosea. Wasamehe kabla hujaanza maombi
"Na kila msimamapo kuomba, sameheni..." (Marko 11:25)
6. Usichoke kuomba. Omba kwa bidii mpaka upate
"Ombeni bila kukoma." ( Wathesalonike 5:17)
Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii (Yak 5:16)
7. Usiombe kwa ajili ya tamaa zako - kwa mfano, usiombe jambo fulani ili upate kisha ujionyeshe kuwa wewe ni bora kuliko wenzako
"Mnaomba wala hampati kwa sababu mnaomba vibaya, ili mpate kutosheleza tamaa zenu."
(Yakobo 4:3)
8. Funga na kuomba. Mambo mengine yanafanyika ukiongeza "gia" ya maombi(kufunga)
"Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga." (Mathayo 17:21)
9. Omba kwa Roho
"...Nitaomba kwa roho, na pia nitaomba kwa akili yangu." (1 Wakorintho 14:15)
10. Usitende dhambi. Dhambi ni kikwazo kikubwa cha kujibiwa maombi. Hivyo, tubu dhambi zako, na kuziacha kabla hujaanza kuomba. Watu waliookoka na wanaoishi maisha matakatifu wana nafasi nzuri ya kupewa lolote wanaloliomba.
"Lakini maovu yenu yamewatenga ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia." (Isaya 59:2)
Anayekataa kuisikia sheria, huyo hata sala yake ni chukizo kwa Mungu." (Mithali 28:9)
Kuombeana ni njia pia nzuri ya kupata yale tunayoyaomba. Nishirikishe hitaji lako, nitasaidiana nawe kuomba. Kama ni jambo usilotaka wengine wajue, eleza tu hivyo, usije PM, please!
Mathayo 18:19-20
"Tena nawaambia, ya kwamba wawili wenu watakapopatana duniani katika jambo lolote watakaloliomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni. Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao."
Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa(Yak 5:16-2n
Niombee biashara ikueNi kweli kabisa kama Yesu alivyoahidi katika Yn 14:13-14 tukimuomba Mungu jambo lolote tutapewa au tutafanyiwa. Nimethibitisha hilo mimi mwenyewe. Niliomba pesa ya kujenga nyumba na kununua gari nikapata - nilikuwa na kazi ya mshahara mdogo nikapata kazi yenye mshahara karibu mara kumi ya huo wa mwanzo! Niliomba mwenzi mzuri wa ndoa ninaye. Niliomba nifanikiwe kibiashara-wateja napata! Mungu amenipa maarifa na kunifanyia mambo mengi ambayo kwa akili zangu au kwa njia za kawaida nisingeweza kuyapata. Muda hautoshi kuyaeleza yote hapa.
Inawezekana umekuwa ukimuomba Mungu jambo fulani kwa muda mrefu hujapata. Usikate tamaa. Zingatia vigezo na masharti yafuatayo, hakika Mungu hana upendeleo, atakufanyia:
1. Omba kwa imani
"Lakini na aombe kwa imani, pasipo shaka yo yote; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari..." (Yakobo 1:6)
2. Omba sawasawa na mapenzi ya Mungu
"Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia."
(1 Yohana 5:14)
3. Tii amri za Mungu
"Na yo yote tutakayoomba tutapokea kwake, kwa kuwa tunazishika amri zake..." (1 Yohana 3:22)
4. Omba kwa Jina la Yesu
"Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya.." (Yohana 14:13)
5. Usiwachukie waliokukosea. Wasamehe kabla hujaanza maombi
"Na kila msimamapo kuomba, sameheni..." (Marko 11:25)
6. Usichoke kuomba. Omba kwa bidii mpaka upate
"Ombeni bila kukoma." ( Wathesalonike 5:17)
Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii (Yak 5:16)
7. Usiombe kwa ajili ya tamaa zako - kwa mfano, usiombe jambo fulani ili upate kisha ujionyeshe kuwa wewe ni bora kuliko wenzako
"Mnaomba wala hampati kwa sababu mnaomba vibaya, ili mpate kutosheleza tamaa zenu."
(Yakobo 4:3)
8. Funga na kuomba. Mambo mengine yanafanyika ukiongeza "gia" ya maombi(kufunga)
"Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga." (Mathayo 17:21)
9. Omba kwa Roho
"...Nitaomba kwa roho, na pia nitaomba kwa akili yangu." (1 Wakorintho 14:15)
10. Usitende dhambi. Dhambi ni kikwazo kikubwa cha kujibiwa maombi. Hivyo, tubu dhambi zako, na kuziacha kabla hujaanza kuomba. Watu waliookoka na wanaoishi maisha matakatifu wana nafasi nzuri ya kupewa lolote wanaloliomba.
"Lakini maovu yenu yamewatenga ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia." (Isaya 59:2)
Anayekataa kuisikia sheria, huyo hata sala yake ni chukizo kwa Mungu." (Mithali 28:9)
AmeeeeenNi kweli kabisa kama Yesu alivyoahidi katika Yn 14:13-14 tukimuomba Mungu jambo lolote tutapewa au tutafanyiwa. Nimethibitisha hilo mimi mwenyewe. Niliomba pesa ya kujenga nyumba na kununua gari nikapata - nilikuwa na kazi ya mshahara mdogo nikapata kazi yenye mshahara karibu mara kumi ya huo wa mwanzo! Niliomba mwenzi mzuri wa ndoa ninaye. Niliomba nifanikiwe kibiashara-wateja napata! Mungu amenipa maarifa na kunifanyia mambo mengi ambayo kwa akili zangu au kwa njia za kawaida nisingeweza kuyapata. Muda hautoshi kuyaeleza yote hapa.
Inawezekana umekuwa ukimuomba Mungu jambo fulani kwa muda mrefu hujapata. Usikate tamaa. Zingatia vigezo na masharti yafuatayo, hakika Mungu hana upendeleo, atakufanyia:
1. Omba kwa imani
"Lakini na aombe kwa imani, pasipo shaka yo yote; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari..." (Yakobo 1:6)
2. Omba sawasawa na mapenzi ya Mungu
"Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia."
(1 Yohana 5:14)
3. Tii amri za Mungu
"Na yo yote tutakayoomba tutapokea kwake, kwa kuwa tunazishika amri zake..." (1 Yohana 3:22)
4. Omba kwa Jina la Yesu
"Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya.." (Yohana 14:13)
5. Usiwachukie waliokukosea. Wasamehe kabla hujaanza maombi
"Na kila msimamapo kuomba, sameheni..." (Marko 11:25)
6. Usichoke kuomba. Omba kwa bidii mpaka upate
"Ombeni bila kukoma." ( Wathesalonike 5:17)
Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii (Yak 5:16)
7. Usiombe kwa ajili ya tamaa zako - kwa mfano, usiombe jambo fulani ili upate kisha ujionyeshe kuwa wewe ni bora kuliko wenzako
"Mnaomba wala hampati kwa sababu mnaomba vibaya, ili mpate kutosheleza tamaa zenu."
(Yakobo 4:3)
8. Funga na kuomba. Mambo mengine yanafanyika ukiongeza "gia" ya maombi(kufunga)
"Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga." (Mathayo 17:21)
9. Omba kwa Roho
"...Nitaomba kwa roho, na pia nitaomba kwa akili yangu." (1 Wakorintho 14:15)
10. Usitende dhambi. Dhambi ni kikwazo kikubwa cha kujibiwa maombi. Hivyo, tubu dhambi zako, na kuziacha kabla hujaanza kuomba. Watu waliookoka na wanaoishi maisha matakatifu wana nafasi nzuri ya kupewa lolote wanaloliomba.
"Lakini maovu yenu yamewatenga ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia." (Isaya 59:2)
Anayekataa kuisikia sheria, huyo hata sala yake ni chukizo kwa Mungu." (Mithali 28:9)
Na DHAMBI zinazompa kibali shetani kuzuia majibu yasikufikie, achukue baraka za ko na kuwapa wengine ni hizi za kuuchafua mwili,Ni kweli kabisa kama Yesu alivyoahidi katika Yn 14:13-14 tukimuomba Mungu jambo lolote tutapewa au tutafanyiwa. Nimethibitisha hilo mimi mwenyewe. Niliomba pesa ya kujenga nyumba na kununua gari nikapata - nilikuwa na kazi ya mshahara mdogo nikapata kazi yenye mshahara karibu mara kumi ya huo wa mwanzo! Niliomba mwenzi mzuri wa ndoa ninaye. Niliomba nifanikiwe kibiashara-wateja napata! Mungu amenipa maarifa na kunifanyia mambo mengi ambayo kwa akili zangu au kwa njia za kawaida nisingeweza kuyapata. Muda hautoshi kuyaeleza yote hapa.
Inawezekana umekuwa ukimuomba Mungu jambo fulani kwa muda mrefu hujapata. Usikate tamaa. Zingatia vigezo na masharti yafuatayo, hakika Mungu hana upendeleo, atakufanyia:
1. Omba kwa imani
"Lakini na aombe kwa imani, pasipo shaka yo yote; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari..." (Yakobo 1:6)
2. Omba sawasawa na mapenzi ya Mungu
"Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia."
(1 Yohana 5:14)
3. Tii amri za Mungu
"Na yo yote tutakayoomba tutapokea kwake, kwa kuwa tunazishika amri zake..." (1 Yohana 3:22)
4. Omba kwa Jina la Yesu
"Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya.." (Yohana 14:13)
5. Usiwachukie waliokukosea. Wasamehe kabla hujaanza maombi
"Na kila msimamapo kuomba, sameheni..." (Marko 11:25)
6. Usichoke kuomba. Omba kwa bidii mpaka upate
"Ombeni bila kukoma." ( Wathesalonike 5:17)
Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii (Yak 5:16)
7. Usiombe kwa ajili ya tamaa zako - kwa mfano, usiombe jambo fulani ili upate kisha ujionyeshe kuwa wewe ni bora kuliko wenzako
"Mnaomba wala hampati kwa sababu mnaomba vibaya, ili mpate kutosheleza tamaa zenu."
(Yakobo 4:3)
8. Funga na kuomba. Mambo mengine yanafanyika ukiongeza "gia" ya maombi(kufunga)
"Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga." (Mathayo 17:21)
9. Omba kwa Roho
"...Nitaomba kwa roho, na pia nitaomba kwa akili yangu." (1 Wakorintho 14:15)
10. Usitende dhambi. Dhambi ni kikwazo kikubwa cha kujibiwa maombi. Hivyo, tubu dhambi zako, na kuziacha kabla hujaanza kuomba. Watu waliookoka na wanaoishi maisha matakatifu wana nafasi nzuri ya kupewa lolote wanaloliomba.
"Lakini maovu yenu yamewatenga ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia." (Isaya 59:2)
Anayekataa kuisikia sheria, huyo hata sala yake ni chukizo kwa Mungu." (Mithali 28:9)
DuuuuhMungu yupo ndio, but hayuko hivo mnavohisi alivyo. Alishafanya kazi yake akamaliza, haumbi kila siku kama mnavodhani, alitaka kila kitu kizaane kwa jinsi yake, akaweka mbegu za uzazi kwa binadamu na mamalian wengine wajizalishe wenyewe, na viumbe vingine kama mimea viongezeke kwa style yake na sio yeye anawaumba.
kilichobaki ni yeye anaangalia tu kuna changamoto gani inawaface viumbe wake duniani? then anasolve, sio kwa kutumia miujiza kama mnavodhani huko makanisani, bali kwa kuweka akili ya kubuni na kuvumbua solution kwa binadamu mmoja au wachache then wanakuja kufanya changes na kurekebisha mambo au shida mbalimbali duniani.
Ndio maana unaona kuna wagunduzi wa vitu na mambo mbalimbali duniani, kama madaktari bingwa, wanasayansi mbalimbali, viongozi na mashujaa mbalimbali nk, tena wengine hata hawaamini wala hawakubali hata kama kuna Mungu, wengine walevi, wauaji, mashoga nk, lakini Mungu haangalii hayo, alishaumba akamaliza, maisha ya binadamu ni chaguo la binadamu mwenyewe, na ndio maana Mungu akawapa watu elimu ya uongozi (serikali) na dini waisambaze duniani ili binadamu waheshimiane na kupendana, hivo dini ni mambo ya kutunga tu na kufikirika, hakuna sjui motoni wala ahera, ukifa umekufa.
Hayo mafanikio yako ulipata either kwa juhudi zako au bahati tu, usimuhusishe Mungu, Mungu anampenda kila binadamu, mlevi, malaya, mweusi, mweupe.