na unaweza ukafuata hayo yote unayoyaita kanuni sjui vigexo na msharti na bado ukafail, halafu usiongee na watu kwa kurefer hivo vitabu sjui bible, ni stories tu ambazo Mungu alizileta makusudi ili binadamu tuishi kwa kupendana na kuheshimiana, na kuogopa moto na shetani, sababu binadamu walikua hawaogopi kitu, walikua wanafanya watakavyo, akaona njia nzuri ya kuwadibiti na kufanya wawe na hofu ni kuwaletea dini.Unaweza fanya hayo yote na bado usifanikiwe ukajiuliza why jibu ni hujaishi kanuni za Muumba ambazo hata asiyekweny dini yeyote inambidi aishi ivyo ili afanikiwe.
Kanuni za Muumba ni hizi zifuatazo:-
1.Kuwa na Amani na kila unayekukutana naye.
2.Upendo uliopitiliza kwa wote hata adui zako,huo utafuta mauti ndani yako(hasara,magonjwa,kifo n.k) zaidi ya (wimbo 8:6)
3.Ibada ni uzalishaji kwa haki,ibada ya kweli kwa Muumba ni kufanya kazi kwa haki bila dhuluma na kanisani au kwenye kusanyiko unaenda kumshukuru kwa kukuwezesha kufanya kazi kwa haki na sio kulia na kuomboleza.
4.Kuwa msafi wa moyo (mathayo 5:8 Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Muumba.)
5.Ishi maisha ya kusamehe bila kuombwa msamaha hio itakufanya uwe na mamlaka ya kulinda MOYO
(Mithali 4:23 Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.)
6.Angalia mbele tu sio nyuma,kushoto wala kulia,ndivyo Muumba anaishi
7.Kubali msamaha wa bure kutoka kwa Muumba ili aishi ndani yako.
(Isaya 43:25 Mimi, naam, mimi, ndimi niyafutaye makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitazikumbuka dhambi zako.)
(Isaya 57:15 Maana yeye aliye juu, aliyetukuka, akaaye milele; ambaye jina lake ni Mtakatifu; asema hivi; Nakaa mimi mahali palipoinuka, palipo patakatifu; tena pamoja na yeye aliye na moyo uliotubu na kunyenyekea, ili kuzifufua roho za wanyenyekevu, na kuifufua mioyo yao waliotubu.
8.Kubali kusubiri majira na wakati kwa kila jambo maana ndivyo Muumba anataka.
9.Ishi maisha ya SHUKRANI maana shukrani ni zaidi ya maombi kwani Muumba hupendezwa na moyo wa shukrani hata Yesu miujiza yake yote alifanya kupitia shukrani.
Muumba hutufanyia vingi kila siku vinavyoonekana na visivyoonekana lakini wanaoshukuru ni wachache mno wengi ni kuomba tu na kulia.
Hata wewe kama mzazi ukiwa na watoto wawili mmoja anashukuru kwa chochote umfanyiacho na mwingine ni kuomba tu na kulia na kuomboleza yupi utamuongezea!!!
hizo ni baadhi ya kanuni muhimu za Muumba.
niazime mimi hiyo kwa wiki 1 tu
Amini asante sana kwa ushuhuda na neno jema uliloleta hapa! Barikiwa sanaNi kweli kabisa kama Yesu alivyoahidi katika Yn 14:13-14 tukimuomba Mungu jambo lolote tutapewa au tutafanyiwa. Nimethibitisha hilo mimi mwenyewe. Niliomba pesa ya kujenga nyumba na kununua gari nikapata - nilikuwa na kazi ya mshahara mdogo nikapata kazi yenye mshahara karibu mara kumi ya huo wa mwanzo! Niliomba mwenzi mzuri wa ndoa ninaye. Niliomba nifanikiwe kibiashara-wateja napata! Mungu amenipa maarifa na kunifanyia mambo mengi ambayo kwa akili zangu au kwa njia za kawaida nisingeweza kuyapata. Muda hautoshi kuyaeleza yote hapa.
Inawezekana umekuwa ukimuomba Mungu jambo fulani kwa muda mrefu hujapata. Usikate tamaa. Zingatia vigezo na masharti yafuatayo, hakika Mungu hana upendeleo, atakufanyia:
1. Omba kwa imani
"Lakini na aombe kwa imani, pasipo shaka yo yote; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari..." (Yakobo 1:6)
2. Omba sawasawa na mapenzi ya Mungu
"Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia."
(1 Yohana 5:14)
3. Tii amri za Mungu
"Na yo yote tutakayoomba tutapokea kwake, kwa kuwa tunazishika amri zake..." (1 Yohana 3:22)
4. Omba kwa Jina la Yesu
"Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya.." (Yohana 14:13)
5. Usiwachukie waliokukosea. Wasamehe kabla hujaanza maombi
"Na kila msimamapo kuomba, sameheni..." (Marko 11:25)
6. Usichoke kuomba. Omba kwa bidii mpaka upate
"Ombeni bila kukoma." ( Wathesalonike 5:17)
Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii (Yak 5:16)
7. Usiombe kwa ajili ya tamaa zako - kwa mfano, usiombe jambo fulani ili upate kisha ujionyeshe kuwa wewe ni bora kuliko wenzako
"Mnaomba wala hampati kwa sababu mnaomba vibaya, ili mpate kutosheleza tamaa zenu."
(Yakobo 4:3)
8. Funga na kuomba. Mambo mengine yanafanyika ukiongeza "gia" ya maombi(kufunga)
"Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga." (Mathayo 17:21)
9. Omba kwa Roho
"...Nitaomba kwa roho, na pia nitaomba kwa akili yangu." (1 Wakorintho 14:15)
10. Usitende dhambi. Dhambi ni kikwazo kikubwa cha kujibiwa maombi. Hivyo, tubu dhambi zako, na kuziacha kabla hujaanza kuomba. Watu waliookoka na wanaoishi maisha matakatifu wana nafasi nzuri ya kupewa lolote wanaloliomba.
"Lakini maovu yenu yamewatenga ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia." (Isaya 59:2)
Anayekataa kuisikia sheria, huyo hata sala yake ni chukizo kwa Mungu." (Mithali 28:9)
Si uje uone nyumba na gari yangu. Halafu uwaulize niliokuwa nikifanya nao kazi ya mshahara mdogo, watakueleza jinsi nilivyopata kazi ya mshahara mnono. Watakuthibitishia jinsi ninavyopenda kumuomba Mungu. Usipoamini vinywa vya mashahidi wawili au watatu basi hata malaika wakikuthibitishia utaona mashaka tu. Jaribu wewe mwenyewe kutimiza vigezo hivyo na uombe uone kama hutapata. Mungu hana upendeleo!Ni vigumu kuthibitisha hayo madai yako
Bado hujamuelewa Muumba wewe,Na DHAMBI zinazompa kibali shetani kuzuia majibu yasikufikie, achukue baraka za ko na kuwapa wengine ni hizi za kumchagua mwili,
1. Kuvaa mawigi nywele bandia,
2. Kuweka kucha bandia na kope ndefu kama misukule,
3.Kuvaa nguo za kubana nusu uchi,
4.Uzinzi,
5. Kuchanganya madhabahu, kanisani unaenda na kwa mganga unaenda, kufanya Mila na kushiriki Mila za ukoo.
6. Wizi na dhulma.
Conclusion.
Kujibiwa maombi kwanza uwe mtakatifu, Mungu hasikii maombi ya wenye DHAMBI.
Nk nk nk
Hiyo gari na nyumba ulivipata nje ya mshahara ?Si uje uone nyumba na gari yangu. Halafu uwaulize niliokuwa nikifanya nao kazi ya mshahara mdogo, watakueleza jinsi nilivyopata kazi ya mshahara mnono. Watakuthibitishia jinsi ninavyopenda kumuomba Mungu. Usipoamini vinywa vya mashahidi wawili au watatu basi hata malaika wakikuthibitishia utaona mashaka tu. Jaribu wewe mwenyewe kutimiza vigezo hivyo na uombe uone kama hutapata. Mungu hana upendeleo!
Acha bangi weweNi kweli kabisa kama Yesu alivyoahidi katika Yn 14:13-14 tukimuomba Mungu jambo lolote tutapewa au tutafanyiwa. Nimethibitisha hilo mimi mwenyewe. Niliomba pesa ya kujenga nyumba na kununua gari nikapata - nilikuwa na kazi ya mshahara mdogo nikapata kazi yenye mshahara karibu mara kumi ya huo wa mwanzo! Niliomba mwenzi mzuri wa ndoa ninaye. Niliomba nifanikiwe kibiashara-wateja napata! Mungu amenipa maarifa na kunifanyia mambo mengi ambayo kwa akili zangu au kwa njia za kawaida nisingeweza kuyapata. Muda hautoshi kuyaeleza yote hapa.
Inawezekana umekuwa ukimuomba Mungu jambo fulani kwa muda mrefu hujapata. Usikate tamaa. Zingatia vigezo na masharti yafuatayo, hakika Mungu hana upendeleo, atakufanyia:
1. Omba kwa imani
"Lakini na aombe kwa imani, pasipo shaka yo yote; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari..." (Yakobo 1:6)
2. Omba sawasawa na mapenzi ya Mungu
"Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia."
(1 Yohana 5:14)
3. Tii amri za Mungu
"Na yo yote tutakayoomba tutapokea kwake, kwa kuwa tunazishika amri zake..." (1 Yohana 3:22)
4. Omba kwa Jina la Yesu
"Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya.." (Yohana 14:13)
5. Usiwachukie waliokukosea. Wasamehe kabla hujaanza maombi
"Na kila msimamapo kuomba, sameheni..." (Marko 11:25)
6. Usichoke kuomba. Omba kwa bidii mpaka upate
"Ombeni bila kukoma." ( Wathesalonike 5:17)
Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii (Yak 5:16)
7. Usiombe kwa ajili ya tamaa zako - kwa mfano, usiombe jambo fulani ili upate kisha ujionyeshe kuwa wewe ni bora kuliko wenzako
"Mnaomba wala hampati kwa sababu mnaomba vibaya, ili mpate kutosheleza tamaa zenu."
(Yakobo 4:3)
8. Funga na kuomba. Mambo mengine yanafanyika ukiongeza "gia" ya maombi(kufunga)
"Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga." (Mathayo 17:21)
9. Omba kwa Roho
"...Nitaomba kwa roho, na pia nitaomba kwa akili yangu." (1 Wakorintho 14:15)
10. Usitende dhambi. Dhambi ni kikwazo kikubwa cha kujibiwa maombi. Hivyo, tubu dhambi zako, na kuziacha kabla hujaanza kuomba. Watu waliookoka na wanaoishi maisha matakatifu wana nafasi nzuri ya kupewa lolote wanaloliomba.
"Lakini maovu yenu yamewatenga ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia." (Isaya 59:2)
Anayekataa kuisikia sheria, huyo hata sala yake ni chukizo kwa Mungu." (Mithali 28:9)
Hongera kwa kuwa na nyumba, gari na mshahara mnono.Si uje uone nyumba na gari yangu. Halafu uwaulize niliokuwa nikifanya nao kazi ya mshahara mdogo, watakueleza jinsi nilivyopata kazi ya mshahara mnono. Watakuthibitishia jinsi ninavyopenda kumuomba Mungu. Usipoamini vinywa vya mashahidi wawili au watatu basi hata malaika wakikuthibitishia utaona mashaka tu. Jaribu wewe mwenyewe kutimiza vigezo hivyo na uombe uone kama hutapata. Mungu hana upendeleo!
😁 😁Avatar yako inaonyesha wewe ni mtu wa furaha. Tushuhudie, ulimuomba nini Mungu akakupa?
madini tupu aisee!!👿Na DHAMBI zinazompa kibali shetani kuzuia majibu yasikufikie, achukue baraka za ko na kuwapa wengine ni hizi za kumchagua mwili,
1. Kuvaa mawigi nywele bandia,
2. Kuweka kucha bandia na kope ndefu kama misukule,
3.Kuvaa nguo za kubana nusu uchi,
4.Uzinzi,
5. Kuchanganya madhabahu, kanisani unaenda na kwa mganga unaenda, kufanya Mila na kushiriki Mila za ukoo.
6. Wizi na dhulma.
Conclusion.
Kujibiwa maombi kwanza uwe mtakatifu, Mungu hasikii maombi ya wenye DHAMBI.
Nk nk nk
Mungu anawaita malaya ili wake nuruni, waache umalaya waishi maisha MATAKATIFU.Bado hujamuelewa Muumba wewe,
Kwamba wenye mawigi,malaya,nk Mungu hawasikii ?
Siyo kweli
Sifa kwa Yesu!Hongera kwa kuwa na nyumba, gari na mshahara mnono.
Wape hivyo vigezo na masharti wajihoji kama wamevitimiza. Vinginevyo waendelee kuomba watapata tu.Lakini kuna wanaomuomba mungu zaidi yako na hawana vitu hivyo,
Sijasema hayo. Na sijivuni kwa kujibiwa maombi yangu. Nimeshuhudia tu ukweli wa ahadi ya Mungu na kuwatia moyo wale ambao hawajapata wanayoomba, wasikate tamaa. Na mimi sio wa kwanza kuomba na kupewa. Tembelea makanisa ya watakatifu wanaojua nguvu ya maombi, utasikia shuhuda kubwa kuliko hizo!je wewe ni bora zaidi kuliko wao? Unajua kuomba zaidi kuliko wao? Wewe ni mtakatifu zaidi yao?
Hao unaowasema sijui wamevipataje. Ila najua wako wenye pesa na mali za wizi. Na kuna matajiri ambao utajiri wao wameupata kwa njia zisizo halali. Na wengine ni kwa sababu wamesoma sana wakaajiriwa na kupata mshahara mnono au wamefanikiwa kwa sababu wanatumia mbinu na kanuni walizojifunza za kibiashara. Njia zote hizo zinaweza kumpatia mtu pesa na mali. Mimi nimetumia njia ya haki, inayodharauliwa na wengi, na haina majuto hata baada ya kufa. Mtu akiwa tajiri kwa njia za dhambi atajuta baada ya kufa maana atateseka milele.Pia kuna ambao hawajawahi kabisa kumuomba mungu na wana vikubwa kuliko ulivyo navyo wewe, hao nao unawazungumziaje?
Oh, my friend, in matters of faith, we are not the authors of our own truth. The Bible is clear — it's not man who sets the rules, but God. Jesus said, 'If you remain in me and my words remain in you, ask whatever you wish, and it will be done for you.' (John 15:7). That shows there's a condition. God is not a vending machine we command at will — He is holy, and He responds to prayer that aligns with His will, His Word, and His righteousness.You are your own rule maker. You set the guidelines, you decide how well you have done how well you are doing.
I am my own rule maker ,I set the guidelines .. I decide how well I'm doing ...Oh, my friend, in matters of faith, we are not the authors of our own truth. The Bible is clear — it's not man who sets the rules, but God. Jesus said, 'If you remain in me and my words remain in you, ask whatever you wish, and it will be done for you.' (John 15:7). That shows there's a condition. God is not a vending machine we command at will — He is holy, and He responds to prayer that aligns with His will, His Word, and His righteousness.
Anyone can pray, yes — but not everyone receives answers unless they meet God’s terms. Humility, repentance, obedience, and faith are not optional. They are God's standards, not man's invention. So let’s not deceive ourselves by creating our own gospel. The truth remains — God answers those who seek Him on His terms, not theirs.
That’s why prayer isn’t about making our own rules, but aligning ourselves with God’s will. In the Bible, Jesus Himself followed certain principles when praying — like humility, faith, forgiveness, and persistence (see Matthew 6, Mark 11:24-25, and Luke 18:1). So it’s not just about how we feel we’re doing, but how we’re walking in relationship with God according to His Word. Got me?