Nimetimiza miaka 10 ya ndoa toka nilipo oa nikiwa na miaka 19

Sahihi kabisa
 
sawa kaka ushachukua attention yetu ,naweka kambi hapaa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Unaonaje ungetulia mpaka utakapoona uko fresh ku type ukaleta habari kamili, kuna meng ya kujifunza hapa
 
Aisee. Umemfuma na njemba ukaishia kulia tu, Pia alikuwekea Sumu na bado unaishi nae!.

Naona kama unatukosea adabu wanaume.
Mwanamke akishakuona una udhaifu kwenye kufanya maamuzi atakufanyia chochote kwakuwa anajua huna cha kumfanya.
 
Aisee. Umemfuma na njemba, Pia alikuwekea Sumu na bado unaishi nae!.

Naona kama unawakosea adabu wanaume.
Mwanamke akishakuona una udhaifu kwenye kufanya maamuzi atakufanyia chochote kwakuwa anajua huna cha kumfanya.
Hakika mlamba sukari hachoki, atalamba tena mzee
 
😩😩😩😩😩😩
 
Kudumisha ndoa kwa miaka 10 na hasa kwa umri mdogo kama wako ni jambo la kupongeza sana.

Hongera sana sana.
Changamoto ulizopitia ni nyingi nadhani kuliko ulizoandika hapa.
Kila la kheri mkuu[emoji120][emoji120]
 
Aisee. Umemfuma na njemba ukaishia kulia tu, Pia alikuwekea Sumu na bado unaishi nae!.

Naona kama unatukosea adabu wanaume.
Mwanamke akishakuona una udhaifu kwenye kufanya maamuzi atakufanyia chochote kwakuwa anajua huna cha kumfanya.
Haki yako kusema hvy maana hata yeye mwisho wa siku akasema unamoyo wa aina gani yaan utakuja jua kwann nilivumilia haya story yaja hili ni tela tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…