Nimetimiza miaka 10 ya ndoa toka nilipo oa nikiwa na miaka 19

[emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Wewe upo Qatar hujuu yanayotokea huku, hata huwezi kuumia kwasababu huyaoni huyu nduguyo ameshuhudia kabisaa. Aisee huyu jamaa ana roho ngumu idd amin akasome, ivi mkuu ndenjii handsome huwezi kuua mtu kweli wewe??
Kuua MTU siwez ila ninakaroho fulani HV kakutokujal kitu haya yote yametokana na malezi nilia kiufupi nimekulia mazingila ya kijasusi sana yasio jua maumivu nn nikupe mfano mdogo kt ya nilio pitia mlez wangu alimshika mwiz hom akamchoma kisu mbele yangu hapo nina miaka 9 tu na nikaona kawaida ni meng nimepitia yameni athir kwenye makuz yangu ndio maana huwa sijal chcht kinachohusu maumivu
 
Kama kutiliwa sumu kwenye chakula, kuwekewa maji upupu, kufungiwa ndani kwa siku 6, kumfuma akifanya ngono na njemba, lakini kidume bado ninae,
Nahisi hii ni chai tu kama chai zingine. Tena Inawezekana kabisa mleta mada akawa ni mmoja wa vile "vitoto" vinavyosubiria kuingia form5.
 
Aisee. Umemfuma na njemba ukaishia kulia tu, Pia alikuwekea Sumu na bado unaishi nae!.

Naona kama unatukosea adabu wanaume.
Mwanamke akishakuona una udhaifu kwenye kufanya maamuzi atakufanyia chochote kwakuwa anajua huna cha kumfanya.
Hatuhiji manguvu kuishi nawanawake hii hali amepitia jamaa naijua kisawasawa inataka moyo ila ukivuka hapo maisha burudani
 
Huyo mwanamke alikushikia begi ya uhai?
 
Nahisi hii ni chai tu kama chai zingine. Tena Inawezekana kabisa mleta mada akawa ni mmoja wa vile "vitoto" vinavyosubiria kuingia form5.
Dah jombaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji125][emoji125]
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Sasa unamdanganya nani
 
Umehakikisha ni wanao?
 
Kwamba ulifungiwa ndani kwa siku 6, kumfuma akifanya ngono na njemba, lakini bado kidume ukaona atabadilika na amebadilika kweli,duuuuuh humlii timing ya kumfanyia umafia huko mbeleni kweli mtoto wa watu??

maana sio kwa huruma hiyo aisee!!!
 
Kweli umepitia mengi ndugu yangu anyway nashukuru nimecheka
 
Hapo kwenye kumkutana ametanuliwa na njemba hapo hapo heri niendelee na hili life bila mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…