Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Ndio maana akamegwa na hukumfanya kitu27 - 30
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana akamegwa na hukumfanya kitu27 - 30
Songa mbele ila mambo magumu usiyachukulie pupa nikwenda nayo taratibu unajikuta umeshindaAsante sana kiongozi il a yamepita
Hongera sana, ila hapo kwa kumfuma na njemba sio rahisi mwanaume aliekamilika akasamehe au kuvumiliaHaikuwa kazi rahisi kufika hii miaka,
Ushauri wangu kwa vijana wenzangu maisha ya ndoa ni mazuri kama mnajitambua kuna vipindi vingi nimepitia.
Kama kutiliwa sumu kwenye chakula, kuwekewa maji upupu, kufungiwa ndani kwa siku 6, kumfuma akifanya ngono na njemba, lakini kidume bado ninae, nina mengi ya kusema ila nina kauvivu kakutyp.
Asanten
Duu atakuja kuutafutia watu wasio julikana au mahaba ni yaupande mmoja yawezekana wewe unamng'ang'ania yeye kakuchokaKwa bahat mbaya mtoto ndie alieanza kula kile chakula nikiwa sina hili dogo tumbo likaanza kuuma nikamchek wife fasta imekuaje hiki chakula mbona mtot anauma tumbo asee wife alipata na mstuko nakuanza nichana nikasema asante mama nikakata sim chap maziwa ya ngomb chap hospital hvy tu umepita mwez nikiwa nimelala usiku nikaota ndoto ya ajabu ile kustuka nakuta wifu kashika kisu yupo pemben angu nikamjibu Fanya unachotaka ulidhike so akajibu nakuchukia sana we mwanaume hivi unakitu gan kinachonixuia mm kutimiza kusud langu nikamjibu ni mungu nikampa banned ya miez sita yaan niliondoka hom ndipo akanitafuta na akatubu mbele ya wazee wa mtaa na wazaz
Mzee huu ni ukondooHaki yako kusema hvy maana hata yeye mwisho wa siku akasema unamoyo wa aina gani yaan utakuja jua kwann nilivumilia haya story yaja hili ni tela tu
Kama kutiliwa sumu kwenye chakula, kuwekewa maji upupu, kufungiwa ndani kwa siku 6, kumfuma akifanya ngono na njemba, lakini kidume bado ninae, nina mengi ya kusema ila nina kauvivu kakutyp.Haikuwa kazi rahisi kufika hii miaka,
Ushauri wangu kwa vijana wenzangu maisha ya ndoa ni mazuri kama mnajitambua kuna vipindi vingi nimepitia.
Kama kutiliwa sumu kwenye chakula, kuwekewa maji upupu, kufungiwa ndani kwa siku 6, kumfuma akifanya ngono na njemba, lakini kidume bado ninae, nina mengi ya kusema ila nina kauvivu kakutyp.
Asanten
Nashukuru kwa ujio ,wako kwenye uzi huu mjadala umeishia hapa[emoji124][emoji124][emoji124][emoji119]Kama kutiliwa sumu kwenye chakula, kuwekewa maji upupu, kufungiwa ndani kwa siku 6, kumfuma akifanya ngono na njemba, lakini kidume bado ninae, nina mengi ya kusema ila nina kauvivu kakutyp.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]SIDHANI!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja Sana MkuuNaunga mkoni mchango..
Hongera Sana Mkuu, lazima nikupongeze kwasababu Mimi siwezi kuvaa viatu vyako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani umesikia mtu akiwa na Miaka 19 hawezi kuvumilia changamoto za ndoa??Ulioa ukiwa na miaka 19 na ukavumilia? Hii chai siwezi kuinywa.
Hata kuoga maji yaliwekewa upupu tu mkuu huwezi!?😁😁😁Hongera Sana Mkuu, lazima nikupongeze kwasababu Mimi siwezi kuvaa viatu vyako.
Ivi mkuu huogopi kifo?? Mtu kakwambia anakuchukia, kakuwekea sumu, upupu bado umo tu daah. Kweli binadamu tumetofautiana sana yani mi nimkute mke analiwa na nimsamee iyo siwezi aisee, nitamdanganya kua nimemsamehe ila sitamuamini kamwe ko bora nimuache tu.Kwa bahat mbaya mtoto ndie alieanza kula kile chakula nikiwa sina hili dogo tumbo likaanza kuuma nikamchek wife fasta imekuaje hiki chakula mbona mtot anauma tumbo asee wife alipata na mstuko nakuanza nichana nikasema asante mama nikakata sim chap maziwa ya ngomb chap hospital hvy tu umepita mwez nikiwa nimelala usiku nikaota ndoto ya ajabu ile kustuka nakuta wifu kashika kisu yupo pemben angu nikamjibu Fanya unachotaka ulidhike so akajibu nakuchukia sana we mwanaume hivi unakitu gan kinachonixuia mm kutimiza kusud langu nikamjibu ni mungu nikampa banned ya miez sita yaan niliondoka hom ndipo akanitafuta na akatubu mbele ya wazee wa mtaa na wazaz
Wewe upo Qatar hujuu yanayotokea huku, hata huwezi kuumia kwasababu huyaoni huyu nduguyo ameshuhudia kabisaa. Aisee huyu jamaa ana roho ngumu idd amin akasome, ivi mkuu ndenjii handsome huwezi kuua mtu kweli wewe??Hongera mkuu Mimi pia nilipata kids mapema Sana ..nikiwa na miaka 21 nilipata mapacha ..saiv Nina 27 juzi nimepata mwingine wa kike ..japo tupo tofauti mkuu Mimi bado nakula mama zingine japo nampenda Sana mama watoto wangu maana yeye ndo kaniletea hao wote watatu ..ukicheki nafanana nao balaa ..namshukuru Mungu kwa uwepo wake maana yeye ndo focus yangu ..saiv nimemwacha huko Tz nipo huku Qatar Kuna mchongo napiga ..pambana mkuu usimwache mkeo eti kisa kaliwa na mabaharia, angalia watoto wako ndo wa muhimu zaidi maana kukosa mzazi mmoja no hatari Sana. Mfano Mimi niliishi na baba tu baada kutengana na mama, hivyo madhara ya kuishia na mzazi mmoja no makubwa Sana.
Hongera japo Mimi bado sijafunga hiyo ndoa..may be mwakani Mungu akitupa uzima.
Mshana Jr huyu mke wake hakuja kilingeni kwako kupata dawa ya kumfunga huyu bwanamdogo kweli?? 😁😁Kama kutiliwa sumu kwenye chakula, kuwekewa maji upupu, kufungiwa ndani kwa siku 6, kumfuma akifanya ngono na njemba, lakini kidume bado ninae, nina mengi ya kusema ila nina kauvivu kakutyp.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]SIDHANI!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!!, siwezi, lazima niwe mkweli. Nasema uongo ndugu yangu???[emoji23][emoji23][emoji23]Hata kuoga maji yaliwekewa upupu tu mkuu huwezi!?[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji122][emoji122][emoji123][emoji123]Hongera mkuu Mimi pia nilipata kids mapema Sana ..nikiwa na miaka 21 nilipata mapacha ..saiv Nina 27 juzi nimepata mwingine wa kike ..japo tupo tofauti mkuu Mimi bado nakula mama zingine japo nampenda Sana mama watoto wangu maana yeye ndo kaniletea hao wote watatu ..ukicheki nafanana nao balaa ..namshukuru Mungu kwa uwepo wake maana yeye ndo focus yangu ..saiv nimemwacha huko Tz nipo huku Qatar Kuna mchongo napiga ..pambana mkuu usimwache mkeo eti kisa kaliwa na mabaharia, angalia watoto wako ndo wa muhimu zaidi maana kukosa mzazi mmoja no hatari Sana. Mfano Mimi niliishi na baba tu baada kutengana na mama, hivyo madhara ya kuishia na mzazi mmoja no makubwa Sana.
Hongera japo Mimi bado sijafunga hiyo ndoa..may be mwakani Mungu akitupa uzima.