Nimetimiza miaka 10 ya ndoa toka nilipo oa nikiwa na miaka 19

Nimetimiza miaka 10 ya ndoa toka nilipo oa nikiwa na miaka 19

Kama huamini kalibu hom uje kufanya kautalii na kauchunguz gharama zmza kutoka uliipo na vyote zangu ili uje udhibitishe hapa maana hata nikikwambia vipi huezi amin kama upo Tayar njoo pm
Kwenye maisha sio lazima uaminiwe na kila mtu mkuu,

Ila kama ni kweli mkuu hongera sana boss wangu umeonyesha uvumilivu wa kiwango cha juu[emoji41]
 
Haikuwa kazi rahisi kufika hii miaka,

Ushauri wangu kwa vijana wenzangu maisha ya ndoa ni mazuri kama mnajitambua kuna vipindi vingi nimepitia.

Kama kutiliwa sumu kwenye chakula, kuwekewa maji upupu, kufungiwa ndani kwa siku 6, kumfuma akifanya ngono na njemba, lakini kidume bado ninae, nina mengi ya kusema ila nina kauvivu kakutyp.

Asanten
Kumfuma akifanya ngono? Na unae bado? Hii ngumu sana kwangu. Ndio kosa kubwa naweza fanyiwa na mke, afanye juu chini nisijue, nikijua basi
 
Back
Top Bottom