Nimetimiza miaka 32, muda wa kuoa ndio umewadia sasa

Umenena mkuu,
 
Ukioa tu yaweza kuwa ikawa chanzo cha kukimbiza hivyo ulivyo navyo including furaha unayoipata sasa. ...Ndoa ni Betting
 
Utayari huo vipi
 
You see ?
Unajikuta una mdogo wako yuko mbioni kujoin university,, inabidi umpush push kwanza, kabla ya majukum hayajakolea,,

Mi kaka angu alichelewa kuoa kwa sababu alikuwa anatupigani kwanza na sie tupate ka ajira,, alipoona tayari tumeanza kujitegemea,, anevuta jiko lako hahahah hahah now namwona mwili umejaa sijui yale madikodiko?
 
Hahaha yaani hautaki kuku Bali tu ---hajawahi kuona kijana wa kiume/wa kike ameolewa but still Ana ishi Yale maisha aliyo kuwa ana yaishi alipo kuwa Batchelor -.huo ni moja ya uhaba wa utayari wenyewe

Endelea kujiandaa
 
Madiko diko --mixer peace of mind --if amempata mwanamke anaye jitambua lazima awe na hayo mabadiliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…