1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
- #61
Na ukubwa wote huoMimi kila nikitoka home narudi!.
Yaani bila kuamka nisalime shkamoo baba, mama nahisi niko shimoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ukubwa wote huoMimi kila nikitoka home narudi!.
Yaani bila kuamka nisalime shkamoo baba, mama nahisi niko shimoni
Umenena mkuu,Kuoa Kuna hitaji utayari wa Kujitambua zaidi na kiuchumi ---- ..Vijana wengi sana huwa wanaingia ndani ya ndoa pasipo kuwepo huo utayari wa namna zote 2...na bahati mbaya mahusiano ya ndoa zao huwa yanaishia kupatwa na ajali ya kuvunjika. ....
Kumradhi ---ila Vijana wengi wa umri huo huwa wanaoLea genye
Dah mi Nina 29 hapa, Nina Kila kitu maisha Ila sina mke tu,Kuna mda najiuliza maswali ya msingi hivi mke zaidi ya watoto atanipa Nini Cha maana ambacho saivi zikipati??? Kweli tuoe tu lakini kwajinsi nilivyo kamilika hapa na jinsi nilivyo na furaha kama kungekuwa na ndoa za kukutana weekend tu nadhani zingekuwa zinatufaa sisi wengine.
Mungu sijui aliwaza nini kusema tuoe labda siku nikioa naweza kujua.
Una pesa,biashara,kazi,una kula vizuri, unajua kutongoza,una hobbies zako kibao,una furaha ukiwa mwenyewe,una uhakika wa kupata mwanamke mwingine yeyote mzuri. Sasa why kuoa?kwanini tuoe wenzetu wazungu wanajua marriage is not for men.
Kuna mda natamani kuoa sana,Kuna mda nawaza hivi nikioa sio ndo mwanzo wa kunihamishiwa mastress yake na mahuzuni yake kwenye maisha yangu yaani nitoe mali,nichangishe watu kusogeza stress kwenye maisha yangu?Ila yote kwa yote, hayo ni mawazo tu ngoja nioe nijionee mwenyewe
Umenena mkuu,
Mkeka kuchanika ni kugusaUkioa tu yaweza kuwa ikawa chanzo cha kukimbiza hivyo ulivyo navyo including furaha unayoipata sasa. ...Ndoa ni Betting
Kwani haujachoka kulala mwenyewe?
Mkeka kuchanika ni kugusa
Labda msingetifuanaPole ya nn sasa, ningeoa tungetifuana labda
Sawa mwafrikaKwa wewe mtoto wa kike hata ukiishi kwenu miaka nenda rudi hakuna tatizo aise. ...kwa mila za kiafrica zisizo rasmi hiyo ni sehemu ya ustaarabu
Amekuwa msanii sasa anatoa nyimbo, asa mm na hizo mambo hatutawezana aiseeh,,
Sawa mwafrika
Utayari huo vipiKuoa Kuna hitaji utayari wa Kujitambua zaidi na kiuchumi ---- ..Vijana wengi sana huwa wanaingia ndani ya ndoa pasipo kuwepo huo utayari wa namna zote 2...na bahati mbaya mahusiano ya ndoa zao huwa yanaishia kupatwa na ajali ya kuvunjika. ....
Kumradhi ---ila Vijana wengi wa umri huo huwa wanaoLea genye
Hahaha hahaha hahahaAmekuwa msanii sasa anatoa nyimbo, asa mm na hizo mambo hatutawezana aiseeh,,
Unajikuta una mdogo wako yuko mbioni kujoin university,, inabidi umpush push kwanza, kabla ya majukum hayajakolea,,You see ?
NdiwoooNa ukubwa wote huo
Utayari huo vipi
MwenyeweLMFAO
Endelea kujiandaaHahaha yaani hautaki kuku Bali tu ---hajawahi kuona kijana wa kiume/wa kike ameolewa but still Ana ishi Yale maisha aliyo kuwa ana yaishi alipo kuwa Batchelor -.huo ni moja ya uhaba wa utayari wenyewe
Umri tunapishana miaka 2, hili gap hapana aisehLabda msingetifuana
Unajikuta una mdogo wako yuko mbioni kujoin university,, inabidi umpush push kwanza, kabla ya majukum hayajakolea,,
Mi kaka angu alichelewa kuoa kwa sababu alikuwa anatupigani kwanza na sie tupate ka ajira,, alipoona tayari tumeanza kujitegemea,, anevuta jiko lako hahahah hahah now namwona mwili umejaa sijui yale madikodiko?