Nimetimiza miaka 32, muda wa kuoa ndio umewadia sasa

Mi mwaka huu ila binafsi natimizA wajibu tu kisa nina uwezo wa kuhandle familia,nina mwanamke na kapita vipimo vy awali nimemuona anafaa basi naoa ila sio sababu Kuna umuhimu sanaaaaaa wa kuoa plus napenda watoto Sana natamani niwe na watoto wawili nikiwa nimefika 32yrs
Hahahaha hahah mkuu tuvute jiko ndani,,
 
Hongera mkuu
 
Nlivokuwa nna miaka 18 nlikuwa najisemea nikifika miaka 25 nianze kujitegemea,, baada ya kufika 25 nikasema nikifika 31 ndo naweza kuoa,, now niko 32
acha ujinga - kula maisha kijana !! mambo ya mama Mkwe, baba Mkwe, shemeji, dada wa kazi nyumba inajaa watu - unayataka kwa umri huo?
 
acha ujinga - kula maisha kijana !! mambo ya mama Mkwe, baba Mkwe, shemeji, dada wa kazi nyumba inajaa watu - unayataka kwa umri huo?
Natl hivi nna mawazo kuitafuta CPA
 
Nan huyo nikamhoji kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…