hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Hahaha utaacha lini visa ?
Mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe
Weee panochosha.Hahaha unachokaje kulala mwenyewe sasa dah! !!
Ndo ivo mkuu,,Looh! !!bwawa limeshaingia ruba hilo
Weee panochosha.
Sana sana pakiwa na baridi.
Endelea kujiandaa
Ila ni vizuri maana soko lako kubwa kutafutwa,, bado bado unakataa mahali sio?Ndiwooo
Hahahaha hahah mkuu tuvute jiko ndani,,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Arobaini bado mapema. Kwani umeshahama nyumbani kwenu? Kama bado muda wa kuhama ndiyo ukiwa na miaka 40.
Usikubali kuondoka kabla ya hapo, utakosa haki zako za msingi kama mtoto.
Ohoo haujajua tuu.Nitanunua blanket
Kuna zile penalt zinatokea, mpigaji hawez kosaWeee panochosha.
Sana sana pakiwa na baridi.
Hongera mkuuMi mwaka huu ila binafsi natimizA wajibu tu kisa nina uwezo wa kuhandle familia,nina mwanamke na kapita vipimo vy awali nimemuona anafaa basi naoa ila sio sababu Kuna umuhimu sanaaaaaa wa kuoa plus napenda watoto Sana natamani niwe na watoto wawili nikiwa nimefika 32yrs
acha ujinga - kula maisha kijana !! mambo ya mama Mkwe, baba Mkwe, shemeji, dada wa kazi nyumba inajaa watu - unayataka kwa umri huo?Nlivokuwa nna miaka 18 nlikuwa najisemea nikifika miaka 25 nianze kujitegemea,, baada ya kufika 25 nikasema nikifika 31 ndo naweza kuoa,, now niko 32
Nan huyo nikamhoji kidogoKuna mwenzio kaanzisha uzi anajuta kuoa we unataka kuingia duuh
Natl hivi nna mawazo kuitafuta CPAacha ujinga - kula maisha kijana !! mambo ya mama Mkwe, baba Mkwe, shemeji, dada wa kazi nyumba inajaa watu - unayataka kwa umri huo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]endelea kuzipiga hadi 45.Kuna zile penalt zinatokea, mpigaji hawez kosa
Nan huyo nikamhoji kidogo
Si unatafuta tu kiburudisho cha muda mfupiOhoo haujajua tuu.
Naa chaje sasa,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]endelea kuzipiga hadi 45.