Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

Wewe ni shujaa. Bado hata katika kizazi ambacho maadili yamechafuka kiasi hicho bado wapo ambao ni waaminifu na wanaomcha Mungu. Usiogope kwa maneno ambayo huenda baadhi wameyatoa kwa kejeli na mifano ya kukudhalilisha. Mara zote waaminifu wanaosimama against the majority wanaonekana ni watu ant-social au kituko. Lakini mbele za Mungu wewe ni mtu wa thamani kuliko kijiji kizima cha watu wasiomtii Mungu
Asante sana mkuu kwa maneno yako mujarabu... mungu akubaliki pia
 
Hebu imagine ndo wewe sasa mda wote huo hujawahi fanya mapenz, ungejisikiaje? leo mwana jf mwenzenu natimiza miaka tisa bila zinaa, mwaka wa 2009 ndo ulikuwa mwaka wangu wa mwisho kufanya mapenz... ni miaka mingi sana kwa mwanadamu kutofanya mapenz wengi wenu mtanibeza wakati wengine hata wiki hamuwez jizuia, natumai
mwakaka huu mwez wa 8 ntaonja papuchi. mpaka sasa ninavyo andika sina dem wala mchumba naishi mwenyewe tu! japo swala la kujizuia si la kitoto ila nimeweza namshukulu mwenyez mungu kwa kunijalia uvumilivu.

LENGO NI NINI? NI SAWA NA MTU ASEME AMEISHI MIAKA 9 BILA KULA MATUNDA? LENGO NI NINI? UNAUMWA? ETC? ULIKUWA UJAOA IMANI HAIRUHUSU? MANAA KAMA SI HIZI SABABU UTAKUWA UNAUGUA KICHAA!
 
Hebu imagine ndo wewe sasa mda wote huo hujawahi fanya mapenz, ungejisikiaje? leo mwana jf mwenzenu natimiza miaka tisa bila zinaa, mwaka wa 2009 ndo ulikuwa mwaka wangu wa mwisho kufanya mapenz... ni miaka mingi sana kwa mwanadamu kutofanya mapenz wengi wenu mtanibeza wakati wengine hata wiki hamuwez jizuia, natumai
mwakaka huu mwez wa 8 ntaonja papuchi. mpaka sasa ninavyo andika sina dem wala mchumba naishi mwenyewe tu! japo swala la kujizuia si la kitoto ila nimeweza namshukulu mwenyez mungu kwa kunijalia uvumilivu.
Au ulipata VVU mkuu
Maana naskia ukivipata hamu ya tendo inaisha kabisa
 
Hebu imagine ndo wewe sasa mda wote huo hujawahi fanya mapenz, ungejisikiaje? leo mwana jf mwenzenu natimiza miaka tisa bila zinaa, mwaka wa 2009 ndo ulikuwa mwaka wangu wa mwisho kufanya mapenz... ni miaka mingi sana kwa mwanadamu kutofanya mapenz wengi wenu mtanibeza wakati wengine hata wiki hamuwez jizuia, natumai
mwakaka huu mwez wa 8 ntaonja papuchi. mpaka sasa ninavyo andika sina dem wala mchumba naishi mwenyewe tu! japo swala la kujizuia si la kitoto ila nimeweza namshukulu mwenyez mungu kwa kunijalia uvumilivu.
Lipia tangazo
 
Ulikuwa unatumia mkono wa kuume
 
Wewe ni mwanachama addicted kabisa umepata cheo kikuu.. CHAPUTA tafadhali chukua fomu ugombee maan ushaa bobea
 
Hongera sana mkuu . Sasa kilichobaki ni kutafuta mwenza ufunge ndoa na sio kufikiria zinaa. Kwani umekaa mda mrefu bila kudhini sasa isije ikakukosti ukaangukia pabaya na kukwa Ngoma.
Ushauri: Oa.
Ntalifanyia kazi hilo mkuu
 
Back
Top Bottom