Wewe ni shujaa. Bado hata katika kizazi ambacho maadili yamechafuka kiasi hicho bado wapo ambao ni waaminifu na wanaomcha Mungu. Usiogope kwa maneno ambayo huenda baadhi wameyatoa kwa kejeli na mifano ya kukudhalilisha. Mara zote waaminifu wanaosimama against the majority wanaonekana ni watu ant-social au kituko. Lakini mbele za Mungu wewe ni mtu wa thamani kuliko kijiji kizima cha watu wasiomtii Mungu