Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

Mm tokea niondike Tz mwaka wa 3 sijafanya na sina mpango wa kurudi kwa sasa, coz sina family ISPOKUA wazee tu, mzee na mm nakukaribia miaka yako bila sex, ingawaje ni NGUMU ila nitafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu nahisi utakua umejazia mkono mmoja kwasababu ya nyetroo

Ungesubiria mwaka mmoja utimize 10 years ufanye anniversary kabisa ya nyetroo
ntajitahidi nimalizie wa kumi
 
Hongera sana mkuu, mimi siwezi kwa kweli uwongo dhambi yani sketi zote hizo miaka 8 bila kushusha hata sketi moja??? Binafsi siwezi
 
nzuri mie nilifanyaga hayo zaidi yako saivi nimekuachia weweee
 
Mm tokea niondike Tz mwaka wa 3 sijafanya na sina mpango wa kurudi kwa sasa, coz sina family ISPOKUA wazee tu, mzee na mm nakukaribia miaka yako bila sex, ingawaje ni NGUMU ila nitafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jitahidi utashinda
 
Hebu imagine ndo wewe sasa mda wote huo hujawahi fanya mapenz, ungejisikiaje? leo mwana jf mwenzenu natimiza miaka tisa bila zinaa, mwaka wa 2009 ndo ulikuwa mwaka wangu wa mwisho kufanya mapenz... ni miaka mingi sana kwa mwanadamu kutofanya mapenz wengi wenu mtanibeza wakati wengine hata wiki hamuwez jizuia, natumai
mwakaka huu mwez wa 8 ntaonja papuchi. mpaka sasa ninavyo andika sina dem wala mchumba naishi mwenyewe tu! japo swala la kujizuia si la kitoto ila nimeweza namshukulu mwenyez mungu kwa kunijalia uvumilivu.
kama haujapiga hata nyeto (kama ni mwanaume au mwanamke), au kama ni mwanamke hata maji ya vuguvugu haujayamwagia, hauna midori chumbani kwako nyosha mkono, apia! hata hivyo nakupongeza.
 
Hebu imagine ndo wewe sasa mda wote huo hujawahi fanya mapenz, ungejisikiaje? leo mwana jf mwenzenu natimiza miaka tisa bila zinaa, mwaka wa 2009 ndo ulikuwa mwaka wangu wa mwisho kufanya mapenz... ni miaka mingi sana kwa mwanadamu kutofanya mapenz wengi wenu mtanibeza wakati wengine hata wiki hamuwez jizuia, natumai
mwakaka huu mwez wa 8 ntaonja papuchi. mpaka sasa ninavyo andika sina dem wala mchumba naishi mwenyewe tu! japo swala la kujizuia si la kitoto ila nimeweza namshukulu mwenyez mungu kwa kunijalia uvumilivu.
Yani sjui nkwambiaje,ila hongera kwakutozini,pia pole kwasababu. 1.unakosa vitu vizuri. 2.uko hatarini kupata tezi dume. 3.masikini wewe huezi hata kutongoza yaani domo zege. 4.siku ukionjaaa hutotamani kuacha napia utateswaa Sana namapnzi kwasababu hujazoea kuachwa probably utajiua, asante
 
Back
Top Bottom