Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu imagine ndo wewe sasa mda wote huo hujawahi fanya mapenz, ungejisikiaje? leo mwana jf mwenzenu natimiza miaka tisa bila zinaa, mwaka wa 2009 ndo ulikuwa mwaka wangu wa mwisho kufanya mapenz... ni miaka mingi sana kwa mwanadamu kutofanya mapenz wengi wenu mtanibeza wakati wengine hata wiki hamuwez jizuia, natumai
mwakaka huu mwez wa 8 ntaonja papuchi. mpaka sasa ninavyo andika sina dem wala mchumba naishi mwenyewe tu! japo swala la kujizuia si la kitoto ila nimeweza namshukulu mwenyez mungu kwa kunijalia uvumilivu.