Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

Ukitamani tu umezini,je hukuwahi kutamani ndani ya miaka hiyo? Ila ninashaka kwamba huenda ulikuwa na tatizo au ulipewa masharti na mganga wako.
 
Ukitamani tu umezini,je hukuwahi kutamani ndani ya miaka hiyo? Ila ninashaka kwamba huenda ulikuwa na tatizo au ulipewa masharti na mganga wako.
kutamani lazima mkuu na wala siyo masharti ya mganga
 
Kuna shida au kulikua na shida sehemu kiafya, kihisia,kiakili,kiuchumi au hata kiimani. Japo naamini inawezekana. Ila sio ki hivi hivi tu!
 
Kichwa cha habari: Miaka 9 bila sex
Habari yenyewe: ... Hebu imagine ndo wewe sasa mda wote huo hujawahi fanya mapenz, ungejisikiaje?
... leo mwana jf mwenzenu natimiza miaka tisa bila zinaa
... natumai mwakaka huu mwez wa 8 ntaonja papuchi
... mpaka sasa ninavyo andika sina dem wala mchumba naishi mwenyewe tu!
Du!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…