Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

unajua vipi kama alikufa bila kuonja papuchi au ni tafiti ipi imetumika hapo mkuu?
sir isaac newton alikuwa professor rasmi akiwa na miaka 26, hivyo hakuwa na muda hata wa kulala na kutafuta wanawake. (source:wikipedia na quora)
 
sir isaac newton alikuwa professor rasmi akiwa na miaka 26, hivyo hakuwa na muda hata wa kulala na kutafuta wanawake. (source:wikipedia na quora)
dah! aisee hakika alikuwa ni mwanaharakati wa aina yake yaani maisha yake aliyatoa kweli kweli anajiumiza kujinyima usingizi kusudi kufanya mambo ambayo mpaka sasa dunia inatumia laws zake kutengeneza vitu vikubwa.

anajinyima utamu wa papuchi kusudi tu atimize lengo lake solving criticals quastions kitu ambacho binadamu wa kawaida jambo hilo linakuwa gumu kidogo.
 
da tunapiti wakati mgumu sana
 
Kwa hio 9 ni mengi. Wengine wanakaa 50 ww unakuja kisema 9?

Ila umejitahidi na ww hongera tia bidii ifike hata 25 then njoo tupe ushuhuda tena ila kumbuka Anaetamani tayari yuazini moyoni mwake
 
Wewe utakuwa katibu mkuu wa CHAPUTA(Chama cha Puli Tanzania),ila ingefaa utupe takwimu ya katoni za sabuni ulizotumia kwa miaka yote hiyo mkuu
 
hii miaka umeihesabu kuanzia vp?

kuanzia tendo lako la mwisho ama tangu ubalehe.

kama ni kweli hongera, mimi siku 2 ni mtihani. ntaifata popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…