Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

Mimi nilijizuia miaka 25 toka nilivozaliwa ila nilivoanza imekuwa shida sijizuii ....yani mwanzo mwisho
 
Sasa hivi wiki zikifika mbili network haipo...ikifika mwezi ndio kabisaa inabidi tu nifanye mpango utimie
 
Naomba mbinu unazotumia ili kufanikiwa katika swala iloo...
 
Siku ukigegeda kazima upelekwe milembe mkuu. Wenda misuli yako ikasisimka kupita vipimo akajikuta chizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…