Hata kama akiolewa na huyo bwana anaweza kupewa mwezi mmoja tu siku nyingine akaambiwa hana kama vipi rudi kwenuHuyu mtoa mada itakuwa anaota ingekuwa vizuri aliye karibu nae amshtue kidogo naona kashafika us anawaza madolali ,hakuna mwanaume wa hivyo usitusingizie ..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji116]
Good you[emoji116]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu Uzi utakuwa umeandikwa na changudoa msiutilie maanani sana!
Sure laki si pesa.
Yule ambae mama yake hakupendi mshaachana????