Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahahahhahhahah usiogope mdogo wangu!
ahahahhahah umemuona lakn dada kubwa alichoandika!?????
BTW ulikuwa unafanya nini usiku wote huu mdoog wangu humu??
utakuwa hurefuki oh shauri yako!
Love you much muchSawa ntafurahi
Ndio maana nakupenda sana love
Katekwa wapi kajipeleka mwenyewe tu.unajua shem wako kanimind sababu ya ile statement yako?
jitahidi upesi sana kumweka sawa kabla hajanikabidhi kwa mama k.....
how will I survive without him? unaujua ugonjwa wangu lakini mdogo wangu wewe....
huyo aliyekuteka mwambie akuteke tu asiingilie mambo mengine
Jamani love upo?duh we ndo umenistua ndugu yangu kuwa na makoloni yote hayo?! bora hata dada mkubwa coz najua akiwa sobber she won't furnish that! Anyways. . . . hiyo mida ndo nilikuwa nimemaliza shughuli zangu sasa nautafuta usingizi!!
ishakuwa positive tena + kabisa..ni wakati wakujiuliza mko wangapi?
Dah na sijanywa chochote jana wala juzi.
Asante...uko Mikindani? Magomeni? Majengo? Au Coko beach?
Hahahahaaa
Karibu Daslam Arushaone
Zimefika.
Asante kwa kutukumbuka.
Love you much much
Hiyo jana hiyo....sikupatii picha