The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
Haahaahaaa kipya kinyemi dadadeeki sio km Bishanga na The secretary watoto 13 ndani ya miaka 11 ya ndoa yao heeheheee lazma vifanyio vyao vishaexpire
Dadadadeeeekiheehehe iya haahaha usipotaka utanitaka nitakupakata nitakupa maji kwenye kata utatakata utan'taka! chezeiya kitu new brand kupaka blue band na mafuta ya ubuyu veeeri niiu siyo ya kwako unayopaka pilipili kichaa kutwaa kuchachamaa na kukauka ka muhogo wa kuchoma Erickb52 utasubiri sana papai chini ya mnazi cc😡Madame b
Dadadadeeeeki
Nimekoma kukuchokoza
Mwanamke una mdomo mchafu kama shimo la choo lol pfuuuuuuu
Dadadadeeeeki
Nimekoma kukuchokoza
Mwanamke una mdomo mchafu kama shimo la choo lol pfuuuuuuu
Daah! jela bana..
Sitasema kosa langu ila Mamndenyi analijua.. na hata sema..
Nafili maugwadu ugwadu..
Jembe langu Erickb52 unanipoza na nani kati ya Chocs au Kipipi?..
Kule kwenye seva joto ni kali sana..
Mkuu watu8 yule daughter wako Passion Lady yu hali gani?
sijamwota tena...afu usije tena mtwara! Raia wame sala!
Selo hakuna ma Smile wala nini, full minuno..
Hivi hapa juu ya dunia kuna mbingu? ( Heaven on earth)..
Hivi ile nyimbo ya yule mchaga iliyokuwa inaitwa King'asti I love u and i need u..
iliishia wapi bado hajatoa remix?
Best yangu..nina maugwadu...
Nani bby wako The secretary ?come ooon bby tema mate chini mbona mie siyo serukamba hapo bado sijavuta bangi nikivuta je!chezeya under 20 hivi yule nkeo wa 20s Chocs yu wapi? sijamtia machoni.
alaaah..atagegedwa tu!! au kama vipi wekea kifanyio chake viwembe..
Keep it up kijana
Ila kumbuka wake za watu sumu
Hayo masharti siyawezi aiseeaccept my kisses..first!! afu nikupe story za kule..
Kweli umejitoa mhanga...!!mpaka anikubali afu aniache yeye...