Nimetoka Jela.. Maugwadu kinomaa.. Erickb52! Nitafutie Demu mkalii!!

Nimetoka Jela.. Maugwadu kinomaa.. Erickb52! Nitafutie Demu mkalii!!

Haahaahaaa kipya kinyemi dadadeeki sio km Bishanga na The secretary watoto 13 ndani ya miaka 11 ya ndoa yao heeheheee lazma vifanyio vyao vishaexpire

heehehe iya haahaha usipotaka utanitaka nitakupakata nitakupa maji kwenye kata utatakata utan'taka! chezeiya kitu new brand kupaka blue band na mafuta ya ubuyu veeeri niiu siyo ya kwako unayopaka pilipili kichaa kutwaa kuchachamaa na kukauka ka muhogo wa kuchoma Erickb52 utasubiri sana papai chini ya mnazi cc: Madame B , Bishanga
 
Last edited by a moderator:
heehehe iya haahaha usipotaka utanitaka nitakupakata nitakupa maji kwenye kata utatakata utan'taka! chezeiya kitu new brand kupaka blue band na mafuta ya ubuyu veeeri niiu siyo ya kwako unayopaka pilipili kichaa kutwaa kuchachamaa na kukauka ka muhogo wa kuchoma Erickb52 utasubiri sana papai chini ya mnazi cc😡Madame b
Dadadadeeeeki
Nimekoma kukuchokoza
Mwanamke una mdomo mchafu kama shimo la choo lol pfuuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Dadadadeeeeki
Nimekoma kukuchokoza
Mwanamke una mdomo mchafu kama shimo la choo lol pfuuuuuuu

come ooon boy tema mate chini mbona mie siyo serukamba hapo bado sijavuta bangi nikivuta je!chezeya under 20 hivi yule nkeo wa 20s Chocs yu wapi? sijamtia machoni.
 
Last edited by a moderator:
come ooon boy tema mate chini mbona mie siyo serukamba hapo bado sijavuta bangi nikivuta je!chezeya under 20 hivi yule nkeo wa 20s Chocs yu wapi? sijamtia machoni.

siku izi ananipenda mimi.. kwa huyu Erickb52 anapoteza muda tu
 
Last edited by a moderator:
na ukiendelea kula rushwa za mjengoni cc utapelekwa mahakamani bora hiyo jela kwani umeponea chupuchupu na basdo ukiendelea tena tunakupeleka mahabusu s=na sio jela kule ni kudogo sana
Daah! jela bana..

Sitasema kosa langu ila Mamndenyi analijua.. na hata sema..
Nafili maugwadu ugwadu..

Jembe langu Erickb52 unanipoza na nani kati ya Chocs au Kipipi?..
Kule kwenye seva joto ni kali sana..

Mkuu watu8 yule daughter wako Passion Lady yu hali gani?
sijamwota tena...afu usije tena mtwara! Raia wame sala!
Selo hakuna ma Smile wala nini, full minuno..

Hivi hapa juu ya dunia kuna mbingu? ( Heaven on earth)..
Hivi ile nyimbo ya yule mchaga iliyokuwa inaitwa King'asti I love u and i need u..
iliishia wapi bado hajatoa remix?

Best yangu..nina maugwadu...
 
na ukiendelea kula rushwa za mjengoni cc utapelekwa mahakamani bora hiyo jela kwani umeponea chupuchupu na basdo ukiendelea tena tunakupeleka mahabusu s=na sio jela kule ni kudogo sana

mrembo mzuri! lady wa ukweli..niaje ww?
 
Attachments

  • images-90.jpeg
    images-90.jpeg
    6.8 KB · Views: 45
come ooon boy tema mate chini mbona mie siyo serukamba hapo bado sijavuta bangi nikivuta je!chezeya under 20 hivi yule nkeo wa 20s Chocs yu wapi? sijamtia machoni.
Mtoto bado ananyonya? Bishanga ankusaidia kulea kweli?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom