Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Baada ya Waraka kusomwa Bunge limesitisha Utoaji Maoni wa sheria ya maliasiliMtasoma tu nakuishia kupiga vigeregere lkn hakitafanyika kitu!
Mlitaka kubadili sheria ya maliasili baada ya kichapo cha waraka mmeufyata.Wabunge akili zimewarejea.Mtasoma tu nakuishia kupiga vigeregere lkn hakitafanyika kitu!
Wajinga walijisahau sana, wanadhani hili taifa na rasilimali zake ni mali zao binafsi.Mlitaka kubadili sheria ya maliasili baada ya kichapo cha waraka mmeufyata.Wabunge akili zimewarejea.
Mzee nawewe umefikia kuwa chawa? 😂Mtasoma tu nakuishia kupiga vigeregere lkn hakitafanyika kitu!
Sawa, we endelea kuunga mkono kila mtu afanye anachofikiri ni sahihiMtasoma tu nakuishia kupiga vigeregere lkn hakitafanyika kitu!
Hayo ndiyo mafanikio pekee mtakayoyapata kuishia kupiga makofi na vigelegele.[emoji106][emoji106]nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu wakapiga vigelegele,Salaam kwako wewe Saa100 uliyetufikisha hapa.
Hii kitu ni muhim san!Pia tusali novena ya kuliombea taifa.
Wewe ulitaka kufanyike nini?Mtasoma tu nakuishia kupiga vigeregere lkn hakitafanyika kitu!
Hii nchi ishachosha kelele kelele tu na vitu havitokei.. mkuu ktk uhalisia hizi kelele hazitamzuia tembo kunywa maji utaona ndugu...Mzee nawewe umefikia kuwa chawa? 😂
Abamizwe mtu mkataba usitishwe namikataba mengine ya hovyo isitishwe,tuwe serious na nchi yetu.Wewe ulitaka kufanyike nini?
Unafikiri mkisomewa ndo patabadili kitu...??Sawa, we endelea kuunga mkono kila mtu afanye anachofikiri ni sahihi