Nimetoka kanisani kwetu Mikocheni, tumesomewa tena waraka wa Maaskofu wa Katoliki kupinga uuzwaji wa bandari,watu wamepiga makofi na vigelegele

Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo
Hakika abarikiwe 🙏🙏🙏 maneno mazuri sana haya
 
Wakatoliki tukijumulusha na wamasai wote upinzani uchaguzi watashinda 2025[emoji1787][emoji1787]
Wakatoliki wote jumlisha wamasai wote jumlisha kanda ya kaskazini wote jumlisha kanda ya ziwa yote jumlisha wafuasi wa marehemu Magufuli wote jumlisha mkoa wa Mbea kwa akina wakili mwakabusi na mdude nyagali hakika 2025 Saa 100 anarudishwa kwao Kimkazi na ndio mwisho wa Chama Cha Madalali (CCM).
 
Mzee nawewe umefikia kuwa chawa? 😂
mkataba utapita tu kama lilivopita bunge haramu la magu, hii uwe chawa usiwe chawa ukweli ndo huu, watanzania(raia) sisi bado sana
 
KENZY wewe sio mtoto ni mtu mzima pengine nawe ni mnufaika wa hili ama pengine si mnufaika,, nikwambie kitu,, Mama akiendelea kushupaza shingo juu ya huu mkataba ambao najua hata wewe unaona kabisa hauna maslahi yoyote kwa Taifa,, hakika ghadhabu ya Mungu itamshukia akingali hai,, huwezi kubishana na kanisa ukabaki salama sauti ya watu wa Mungu ni sauti ya Mungu,,
Kwamba kanisa katoliki huwa linatoa adhabu!!!?
 
KENZY wewe sio mtoto ni mtu mzima pengine nawe ni mnufaika wa hili ama pengine si mnufaika,, nikwambie kitu,, Mama akiendelea kushupaza shingo juu ya huu mkataba ambao najua hata wewe unaona kabisa hauna maslahi yoyote kwa Taifa,, hakika ghadhabu ya Mungu itamshukia akingali hai,, huwezi kubishana na kanisa ukabaki salama sauti ya watu wa Mungu ni sauti ya Mungu,,
Tulieni nyinyi
 
𝗠𝗨𝗡𝗚𝗨 𝗧𝗨𝗦𝗔𝗜𝗗𝗜𝗘

𝘮𝘬𝘢𝘵𝘢𝘣𝘢 𝘩𝘶𝘶 𝘢𝘭𝘪𝘶𝘬𝘢𝘵𝘢𝘢 𝘮𝘢𝘨𝘶𝘧𝘶𝘭𝘪 𝘬𝘸𝘢𝘯𝘻𝘢 𝘢𝘬𝘢𝘴𝘦𝘮𝘢 𝘬𝘪𝘤𝘩𝘢𝘢 𝘱𝘦𝘬𝘦𝘦 𝘯𝘥𝘪𝘦 𝘢𝘯𝘢𝘦𝘸𝘦𝘻𝘢 𝘬𝘶𝘶𝘬𝘶𝘣𝘢𝘭𝘪 𝘭𝘢𝘬𝘪𝘯𝘪 𝘮𝘢𝘮𝘢 𝘬𝘢𝘶𝘬𝘶𝘣𝘢𝘭𝘪

𝘮𝘬𝘢𝘵𝘢𝘣𝘢 𝘩𝘶𝘶 𝘶𝘮𝘦𝘱𝘪𝘯𝘨𝘸𝘢 𝘯𝘢 𝘛𝘓𝘚 (𝘛𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢 𝘭𝘢𝘸 𝘚𝘰𝘤𝘪𝘦𝘵𝘺 𝘪𝘯𝘢 𝘮𝘦𝘮𝘣𝘦𝘳 𝘬𝘢𝘳𝘪𝘣𝘶 7000) 𝘭𝘢𝘬𝘪𝘯𝘪 𝘮𝘢𝘮𝘢 𝘴𝘢𝘮𝘪𝘢 𝘺𝘶𝘬𝘰 𝘬𝘪𝘮𝘺𝘢 𝘯𝘢 𝘸𝘢𝘵𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢 𝘵𝘶𝘮𝘦𝘯𝘺𝘢𝘮𝘢𝘻𝘢

𝘮𝘬𝘢𝘵𝘢𝘣𝘢 𝘶𝘮𝘦𝘱𝘪𝘯𝘨𝘸𝘢 𝘯𝘢 𝘸𝘢𝘯𝘢𝘩𝘢𝘳𝘢𝘬𝘢𝘵𝘪 𝘯𝘢 𝘮𝘢𝘸𝘢𝘬𝘪𝘭𝘪 𝘬𝘸𝘢𝘮𝘣𝘢 𝘯𝘪 𝘮𝘣𝘰𝘷𝘶 𝘩𝘢𝘶𝘯𝘢 𝘮𝘢𝘴𝘭𝘢𝘩𝘪 𝘺𝘰𝘺𝘰𝘵𝘦 𝘯𝘢 𝘷𝘪𝘱𝘦𝘯𝘨𝘦𝘭𝘦 𝘯𝘪 𝘷𝘪𝘣𝘰𝘷𝘶 𝘴𝘦𝘳𝘪𝘬𝘢𝘭𝘪 𝘪𝘱𝘰 𝘬𝘪𝘮𝘺𝘢

𝘸𝘢𝘯𝘢𝘴𝘪𝘢𝘴𝘢 𝘸𝘢𝘮𝘦𝘶𝘱𝘪𝘯𝘨𝘢 𝘊𝘏𝘈𝘋𝘌𝘔𝘈 𝘈𝘊𝘛 𝘬𝘢𝘴𝘰𝘳𝘰 𝘸𝘢𝘯𝘢 𝘊𝘊𝘔 𝘭𝘢𝘬𝘪𝘯𝘪 𝘣𝘢𝘢𝘥𝘩𝘪 𝘺𝘢𝘰 𝘸𝘢𝘯𝘢 𝘊𝘊𝘔 𝘸𝘢𝘮𝘦𝘶𝘱𝘪𝘯𝘨𝘢

𝘮𝘢𝘢𝘴𝘬𝘰𝘧𝘶 𝘯𝘢𝘰 𝘸𝘢𝘮𝘦𝘶𝘱𝘪𝘯𝘨𝘢 𝘬𝘸𝘢 𝘩𝘰𝘫𝘢 𝘮𝘢𝘢𝘬𝘶𝘮𝘶 𝘯𝘢 𝘮𝘱𝘬𝘢 𝘴𝘢𝘴𝘢 𝘩𝘢𝘸𝘢𝘫𝘢𝘫𝘪𝘣𝘪𝘸𝘢
𝘮𝘢𝘮𝘢 𝘢𝘯𝘢𝘴𝘦𝘮𝘢 𝘢𝘯𝘢𝘬𝘢𝘢 𝘬𝘪𝘮𝘺𝘢 𝘯𝘢 𝘢𝘵𝘢𝘦𝘯𝘥𝘦𝘭𝘦𝘢 𝘬𝘶𝘬𝘢𝘢 𝘬𝘪𝘮𝘺𝘢

𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝘁𝘂𝗮𝗺𝗸𝗲 𝘀𝗮𝘀𝗮 𝘄𝗼𝘁𝗲 𝘁𝘂𝗻𝗮𝗷𝗶𝗼𝗻𝗲𝗮
 
Waliambiwa siku wakiapa washike vitambi vyao na sio bibilia. Laana hii
Mbunge mmoja wa CCM ameonekana Vatican akisalimiana na Papa wa Kanisa Katoliki la Roma,ni wazi kapeleka ujumbe kwa Papa wa Kanisa Katoliki la Roma kufuatia Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Roma Tanzania kupinga mkataba wa kuiuza bandari ya Dar es Salaam,na nguvu hiyo tayari Serikali imesitisha kukusanya maoni ya kuibadili sheria ya kulinda maliasili za Tanzania inayoitaka kesi ya Maliasili za Tanzania kusikilizwa hapa hapa Tanzania.
 
Mwizi ni yule aliyemwacha mwizi atuibie Hali tumempa mamlaka ya kusimamia rasilimali zetu. Hawezi kusimamia apishe wenye uwezo wa kusimamia
 
𝗠𝗨𝗡𝗚𝗨 𝗧𝗨𝗦𝗔𝗜𝗗𝗜𝗘

𝘮𝘬𝘢𝘵𝘢𝘣𝘢 𝘩𝘶𝘶 𝘢𝘭𝘪𝘶𝘬𝘢𝘵𝘢𝘢 𝘮𝘢𝘨𝘶𝘧𝘶𝘭𝘪 𝘬𝘸𝘢𝘯𝘻𝘢 𝘢𝘬𝘢𝘴𝘦𝘮𝘢 𝘬𝘪𝘤𝘩𝘢𝘢 𝘱𝘦𝘬𝘦𝘦 𝘯𝘥𝘪𝘦 𝘢𝘯𝘢𝘦𝘸𝘦𝘻𝘢 𝘬𝘶𝘶𝘬𝘶𝘣𝘢𝘭𝘪 𝘭𝘢𝘬𝘪𝘯𝘪 𝘮𝘢𝘮𝘢 𝘬𝘢𝘶𝘬𝘶𝘣𝘢𝘭𝘪

𝘮𝘬𝘢𝘵𝘢𝘣𝘢 𝘩𝘶𝘶 𝘶𝘮𝘦𝘱𝘪𝘯𝘨𝘸𝘢 𝘯𝘢 𝘛𝘓𝘚 (𝘛𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢 𝘭𝘢𝘸 𝘚𝘰𝘤𝘪𝘦𝘵𝘺 𝘪𝘯𝘢 𝘮𝘦𝘮𝘣𝘦𝘳 𝘬𝘢𝘳𝘪𝘣𝘶 7000) 𝘭𝘢𝘬𝘪𝘯𝘪 𝘮𝘢𝘮𝘢 𝘴𝘢𝘮𝘪𝘢 𝘺𝘶𝘬𝘰 𝘬𝘪𝘮𝘺𝘢 𝘯𝘢 𝘸𝘢𝘵𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢 𝘵𝘶𝘮𝘦𝘯𝘺𝘢𝘮𝘢𝘻𝘢

𝘮𝘬𝘢𝘵𝘢𝘣𝘢 𝘶𝘮𝘦𝘱𝘪𝘯𝘨𝘸𝘢 𝘯𝘢 𝘸𝘢𝘯𝘢𝘩𝘢𝘳𝘢𝘬𝘢𝘵𝘪 𝘯𝘢 𝘮𝘢𝘸𝘢𝘬𝘪𝘭𝘪 𝘬𝘸𝘢𝘮𝘣𝘢 𝘯𝘪 𝘮𝘣𝘰𝘷𝘶 𝘩𝘢𝘶𝘯𝘢 𝘮𝘢𝘴𝘭𝘢𝘩𝘪 𝘺𝘰𝘺𝘰𝘵𝘦 𝘯𝘢 𝘷𝘪𝘱𝘦𝘯𝘨𝘦𝘭𝘦 𝘯𝘪 𝘷𝘪𝘣𝘰𝘷𝘶 𝘴𝘦𝘳𝘪𝘬𝘢𝘭𝘪 𝘪𝘱𝘰 𝘬𝘪𝘮𝘺𝘢

𝘸𝘢𝘯𝘢𝘴𝘪𝘢𝘴𝘢 𝘸𝘢𝘮𝘦𝘶𝘱𝘪𝘯𝘨𝘢 𝘊𝘏𝘈𝘋𝘌𝘔𝘈 𝘈𝘊𝘛 𝘬𝘢𝘴𝘰𝘳𝘰 𝘸𝘢𝘯𝘢 𝘊𝘊𝘔 𝘭𝘢𝘬𝘪𝘯𝘪 𝘣𝘢𝘢𝘥𝘩𝘪 𝘺𝘢𝘰 𝘸𝘢𝘯𝘢 𝘊𝘊𝘔 𝘸𝘢𝘮𝘦𝘶𝘱𝘪𝘯𝘨𝘢

𝘮𝘢𝘢𝘴𝘬𝘰𝘧𝘶 𝘯𝘢𝘰 𝘸𝘢𝘮𝘦𝘶𝘱𝘪𝘯𝘨𝘢 𝘬𝘸𝘢 𝘩𝘰𝘫𝘢 𝘮𝘢𝘢𝘬𝘶𝘮𝘶 𝘯𝘢 𝘮𝘱𝘬𝘢 𝘴𝘢𝘴𝘢 𝘩𝘢𝘸𝘢𝘫𝘢𝘫𝘪𝘣𝘪𝘸𝘢
𝘮𝘢𝘮𝘢 𝘢𝘯𝘢𝘴𝘦𝘮𝘢 𝘢𝘯𝘢𝘬𝘢𝘢 𝘬𝘪𝘮𝘺𝘢 𝘯𝘢 𝘢𝘵𝘢𝘦𝘯𝘥𝘦𝘭𝘦𝘢 𝘬𝘶𝘬𝘢𝘢 𝘬𝘪𝘮𝘺𝘢

𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝘁𝘂𝗮𝗺𝗸𝗲 𝘀𝗮𝘀𝗮 𝘄𝗼𝘁𝗲 𝘁𝘂𝗻𝗮𝗷𝗶𝗼𝗻𝗲𝗮
Ndio TEC inawaamusha watanzania hivyo
 
👍👍nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu wakapiga vigelegele,Salaam kwako wewe Saa100 uliyetufikisha hapa.
Watanzania Bwana,mimi nimewastukia sana,inawezekana hata hawajui wanachopigia makofi.Yaani Watanzania hawajitambui kabisa.Very sad.
 
👍👍nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu wakapiga vigelegele,Salaam kwako wewe Saa100 uliyetufikisha hapa.
Hiyo TEC ni genge tu la wahuni wapigaji tushawazoea. Wamezoea kuiibia serikali kumpitia bandari, wameona hawataweza Tena kuiba ndio maana wanahangaika. Hao ni nyau tu hawana impact wawasomee hata majumbani mwenu. Wapumbavu tu waliozoea kuishi kwa njia haramu, serikali haitishwi ni hayo majoho yao wakivuka mstari wanapigwa hata marungu, sifa yao ni ulevi na uzinzi
 
Mungu awe pamoja nanyi.. Nendeni kwa aman. 🙏🙏🙏🤝🤝. Amina
 
Hiyo TEC ni genge tu la wahuni wapigaji tushawazoea. Wamezoea kuiibia serikali kumpitia bandari, wameona hawataweza Tena kuiba ndio maana wanahangaika. Hao ni nyau tu hawana impact wawasomee hata majumbani mwenu. Wapumbavu tu waliozoea kuishi kwa njia haramu, serikali haitishwi ni hayo majoho yao wakivuka mstari wanapigwa hata marungu, sifa yao ni ulevi na uzinzi
Naona matako yako.. Yamesha ingiliwa na funza tayari
 
[emoji106][emoji106]nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu wakapiga vigelegele,Salaam kwako wewe Saa100 uliyetufikisha hapa.
Safi SANA
 
Back
Top Bottom