Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hakika abarikiwe 🙏🙏🙏 maneno mazuri sana hayaTusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo