Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Okay...ila swali langu, ni nani mtu sahihi wa kumwambia?Hapo alikuwa ashaamua kukata kamba Kwa jamaa.. huwezi sema hivyo ukitegemea suluhisho la tatizo hata wakirudiana itakuwa ni aibu Kati Yao.
Mwanaume alinyanyasa sana hivyo akaamua amwage mboga tuHapo alikuwa ashaamua kukata kamba Kwa jamaa.. huwezi sema hivyo ukitegemea suluhisho la tatizo hata wakirudiana itakuwa ni aibu Kati Yao.
Self deffencive mechanism yao. Na ndo wanakaribisha sukari ndo hali inakua mbaya kbsMwanaume akikosa nguvu za kiume anajidai ana wivu sana[emoji848]
YaniSelf deffencive mechanism yao. Na ndo wanakaribisha sukari ndo hali inakua mbaya kbs
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kwa maelezo ya myoa mada kwa nature ya story kiundani zaidi wazazi wa mwanamke walisha yapata malalamiko kitambo Sana na walisha hitimisha kuja kumchukua mtoto wao na hicho kikao kilikua geresha tu ...kwa hiyo hapa watu wa kiumeni hata wangeongea Nini wasinge sikilizwa.....hicho kikao kilikua ni Cha kumuaga binti sio kusuruhisha [emoji38][emoji38] na ndio maana mzee wa kiumeni amemind na kampiga mkwara mwanae asimuone kwakeHii story hujai balance kabisa. Kila upande wa story ungepaswa kuwa response hapo tungejua jinsi ambavyo kweli wazee wazima mlivyoaibika.
Mzee kakasirika sijawahi kumuona vile tokea mdogo amekasirika sana anasema dogo ameuabisha ukoo na familia nzima katuaibisha , kaapa asikanyage kabisa yaniKwa maelezo ya myoa mada kwa nature ya story kiundani zaidi wazazi wa mwanamke walisha yapata malalamiko kitambo Sana na walisha hitimisha kuja kumchukua mtoto wao na hicho kikao kilikua geresha tu ...kwa hiyo hapa watu wa kiumeni hata wangeongea Nini wasinge sikilizwa.....hicho kikao kilikua ni Cha kumuaga binti sio kusuruhisha [emoji38][emoji38] na ndio maana mzee wa kiumeni amemind na kampiga mkwara mwanae asimuone kwake
Jipe Muda.Mirungi huaribu sana nguvu za uume, wakati mwingine ktk hii dunia si kila kitu ni cha faida na chakuigwa.
Ona sasa Mke mwema kabisa anakosa Mume sahihi na kuachwa njia panda.
Mungu ni mwema sana kuniepusha na ulevi wowote wa sigara, bangi, kokein, shisha, pombe, pornography na uzinzi wa Wanawake na hata hii mitandao ya kijamii.
Kwa wazee wa zamani mambo Kama hayo yanawaumiza Sana tofauti na sisi wa digital ... Yaani mzee wenu anaonekana alifeli kwenye kuwalea na akikumbuka jitihada alizo zifanya Hadi mmefika hapo na matokeo yake lazima aumie. Na usikute Mambo ya ulevi Alisha waasa halafu Leo anakuja kudharirika kisa huo huo ulevi na kaacha mambo yake kisa kuja kusovu ulevi hapo lazima Moto uwake mzee[emoji1][emoji1]Mzee kakasirika sijawahi kumuona vile tokea mdogo amekasirika sana anasema dogo ameuabisha ukoo na familia nzima katuaibisha , kaapa asikanyage kabisa yani
Hapana napoeleza mzee tumefika tu jana jioni na hali ikabadilika tulampeleka hospitali ya wilaya presha imepanda ila now anaendelea vizuri
Ni kweli wala hajakosea alishavumiliwa mda sana akashauriwa aache mirungi lakini haskiiNimeishia hapo Mzee alipomwambia "Umepoteza Mwanamke mzuri kwa ujinga wako"....
This is not correct
Kwamba mwanaume nguvu zikiwa nyingi, mwanamke wivu unakua mwingiVise versa is totally true.
Msaada hapo kwenye sukari, wivu unahusikaje?Self deffencive mechanism yao. Na ndo wanakaribisha sukari ndo hali inakua mbaya kbs
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ili kila mtu akale alipo-peleka mboga .Mwanaume alinyanyasa sana hivyo akaamua amwage mboga tu
Sema veve ukiizoea ina addiction aseee ukifika ule mda wake unapata arosto mbaya mbovu.
Mkuu nyie ni Warangi? Maana hao watu wanapenda sana kuchanja veve/miraa/mirungi/gomba.
Ukisoma mwanzo wa story mdogo wake ndiye alianza kutoa maelekezo, na ndiye alianza kuulizwa sababu ya kipigo anachotoa kwa mtoto wa mwanaume mwenzie.Naona umeegea upande wa Shemeji hujaeeza upande wa dogo yeye alisemaje?
Ni afadhali mtu aumwe sio yakujitakia kama hivyoKuna rafiki yangu aliolewa na msomali tabia ni Kama za huyo dogo
Wametengana kwa shari sana mwaka jana[emoji2308]
Kumbe veve haifai aisee
Yani Ke akiwa hana nguvu za kike naye hujificha kwenye kichaka cha wivu mwingi kwa MumeweKwamba mwanaume nguvu zikiwa nyingi, mwanamke wivu unakua mwingi
Nimejivunia kipi hasa hapo zaidi ya kumtukuza Mungu kuwa ni mwema kuniepusha na huo upuuzi?Jipe Muda.
Don't be proud